Dar es Salaam kuna Vijana wakarimu sana yani sana!

Dar es Salaam kuna Vijana wakarimu sana yani sana!

Kizota

Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
46
Reaction score
81
sikujua kama kuna VIJANA WAKALIMU Kiasi iki jamani yaani muda huu ndo nimeshuka hapa MBEZI stendi sasa naona KIJANA kanisaidia kubeba BEGI langu, japo anatembea KASI ila sina shaka maana amesema ninapoelekea anapajua vizuri?
 
Kudadadek!!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
sikujua kama kuna VIJANA WAKALIMU Kiasi iki jamani yaani muda huu ndo nimeshuka hapa MBEZI stendi sasa naona KIJANA kanisaidia kubeba BEGI langu, japo anatembea KASI ila sina shaka maana amesema ninapoelekea anapajua vizuri?
Ni wakarimu sana mkuu. Na utafurahi zaidi mtakapofika huko anakokupeleka pale utakapompa asante na yeye kukupa pole kwa safari na 5,000 juu
 
Nakumbuka kuna jamaa flani mshkaji wangu kuna day alikamata joka kubwa refu alaf lile joka akaliingiza kwenye box [emoji1003] yaani alijifanya kama kachukua mzigo alaf kufika pale sinza akajifanya kama anashangaa kasahau kitu akaliacha kipindi cha dakika 2 anageuka nyuma box halipo wahuni washaondoka nalo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui ni nn kilichotokea mbeleni [emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom