Ni wakarimu sana mkuu. Na utafurahi zaidi mtakapofika huko anakokupeleka pale utakapompa asante na yeye kukupa pole kwa safari na 5,000 juusikujua kama kuna VIJANA WAKALIMU Kiasi iki jamani yaani muda huu ndo nimeshuka hapa MBEZI stendi sasa naona KIJANA kanisaidia kubeba BEGI langu, japo anatembea KASI ila sina shaka maana amesema ninapoelekea anapajua vizuri?