Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Hautapata watu wengi kulingana na mentality ya watanzania walio wengi ambao hawapendi kupa msisitizo mambo ya msingi ila taratibu taratibu tutafikaHivi mh utafanya nini ili kuhakikisha wananchi wako tunapenda mambo ya muhimu ,? Uzi mzuri kama huu kukosa wachangiaji ni msiba 🤔
Utaua local innovationKama nchi ni muhimu sana kuwa sehemu ya soko la refurbished ili kukuza wigo wa ajira na kuongeza mapato ya serikali
NIKIWA RAIS DAR ES SALAAM ITAKUWA NI KITOVU CHA BIDHAA ZA REFURBISHED
👇👇👇👇👇👇👇
The global refurbished electronics market is experiencing substantial growth, with a projected market size of USD 123.71 billion by 2033. This represents a significant increase from an estimated USD 85.42 billion in 2021, with a compound annual growth rate (CAGR) of 10.03%.
Dar es salaam inauwezo wa kuipita dubai kwenye ukanda huu Kama center ya refurbished nikiwa Rais ntafanya mambo yafuatayo ili kukamilisha hili wazo
Common refurbished products
- Kuboresha miundombinu ya jiji la dar es salaam kwa kupangilia upya na vizuri
- Kuboresha Sewage system
- Kuweka zoning za bidhaa za refurbished
- Kupiga paving eneo lote la dar es salaam
- Kuyaboresha maeneo ambayo yamezunguka mji kama magomeni, manzese, kigogo, mburahati, ilala, Tandale, sinza, kijitomanyama, kinondoni, haya maeneo yatakuwa ni makazi ya watu na mda huo huo ni kitovu cha refurbished
- Smartphones
- Laptops
- Tablets
- Smartwatches
- Gaming consoles
Sio kosa kuwa na viwanda vya refurbished China japokuwa wanaviwanda vingi still wana viwanda vya refurbished ulishawahi jiuliza kwaniniUtaua local innovation
Utadrain hard currency reserves
Utafanya nchi kuwa dumple la bidhaa zilizotumika nje
Utaua future ya uchumi wetu kutoka kwenye production na kubakia uchumi wa kichuuzi
Durban tu huipiti hiyo Dubai ni world trade center usiitaje hovyo hovyoDar es salaam inauwezo wa kuipita dubai kwenye ukanda huu Kama center ya refurbished nikiwa Rais ntafanya mambo yafuatayo ili kukamilisha hili wazo
Dar es Salaam inauwezo wa kuipita kama kukiwa na mipango thabitiDurban tu huipiti hiyo Dubai ni world trade center usiitaje hovyo hovyo
Sio kosa kuwa na viwanda vya refurbished China japokuwa wanaviwanda vingi still wana viwanda vya refurbished ulishawahi jiuliza kwanini
Hata bidhaa zilizotumika ndani ambazo ni used zitafanywa na kuwa refurbished
Ni viwanda vidogo vidogoHakuna viwanda VYA refurbished ila Kuna workshops za kurestore worthiness ya bidha zilizotumika ziweze kutumika tena....
Utaua industrial base ya nchi
Hiyo ni sehemu ya kupunguza takataka baada ya kutumika,Ni viwanda vidogo vidogo
Mbona china wana workshops nyingi sana za refurbished tena watakuwa wanaongoza
Sio kweli kama nchi lazima itafutwe namna yeyote ya kutengeneza fedhaHiyo ni sehemu ya kupunguza takataka baada ya kutumika,
Kama Kiongozi kuwaza kuanzisha viwanda VYA refurbished ni sawa na kuridhia nchi kuwa dumple
Kwa sera hizo labda jaribu UDIWANI ujue kwanza complexitynessSio kweli kama nchi lazima itafutwe namna yeyote ya kutengeneza fedha
Hizo bidhaa za refurbished za China kwa kiwango kikubwa zinauzwa nje ya nchi
Wewe ndiye ulikuwa unajiita NAO?Utaua local innovation
Utadrain hard currency reserves
Utafanya nchi kuwa dumple la bidhaa zilizotumika nje
Utaua future ya uchumi wetu kutoka kwenye production na kubakia uchumi wa kichuuzi