Dennis Robert Shughuru JF-Expert Member Joined May 30, 2024 Posts 5,559 Reaction score 8,747 Aug 29, 2025 Thread starter #21 DMmasi said: 1. nikwakiwango gani sisi tunatoa bidhaa nje zikafanyiwe refurbishment 2. nikiwango kikubwa kiasi gani cha watanzania wanaotumia bidhaa mpya kabisa kwako Mr. President Click to expand... Bidhaa za refurbished sio lazima zitoke njee hizi hizi wanazotumia watu wanaweza ziuza baada ya mda flani kutumiwa, zikanunuliwa na zikafanyiwa refurbished na kuuzwa kwa watu wengine
DMmasi said: 1. nikwakiwango gani sisi tunatoa bidhaa nje zikafanyiwe refurbishment 2. nikiwango kikubwa kiasi gani cha watanzania wanaotumia bidhaa mpya kabisa kwako Mr. President Click to expand... Bidhaa za refurbished sio lazima zitoke njee hizi hizi wanazotumia watu wanaweza ziuza baada ya mda flani kutumiwa, zikanunuliwa na zikafanyiwa refurbished na kuuzwa kwa watu wengine
bongo-live JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 1,776 Reaction score 2,393 Nov 13, 2025 #22 Kama yuko vizurii kwa hivi vitovuu mtulie mpangwee