LGE2024 Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760

WanaJF,​

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.

1727767380986.jpeg

Ramani ya Jiji la Dar es Salaam
HISTORIA YA JIJI LA DAR ES SALAAM
Jiji la Dar es Salaam lilianza kama kijiji kidogo cha wavuvi kilichojulikana kama Mzizima. Kijiji hiki kilianzishwa na Wabalawa ambao walichanganyika na Wazaramo kuelekea kwenye maeneo ya Bara la Afrika Mashariki kupitia njia za msafara zilizojulikana kama “Caravan Routes”. Ujenzi wa makao ya Sultani pamoja na bandari ulianza rasmi mwaka 1865 katika eneo la kijiji cha Mzizima. Ujenzi huo ulikamilika mwaka 1866, na Sultani Majid bin Said akaamua kuhamia Dar es Salaam mwaka huo.

Baada ya Sultani Majid bin Said kuhamia Dar es Salaam, mji ulianza kupanuka na uchumi wake kukua kwa kasi kubwa kwa muda mfupi hadi alipofariki mwaka 1870. Kifo chake kilisababisha kudorora kwa maendeleo ya mji. Hata hivyo, hali hiyo ilianza kubadilika mwaka 1884 kufuatia kuanzishwa kwa koloni la Wajerumani la Afrika Mashariki. Mwaka 1891, serikali ya kikoloni ya Kijerumani ilihamishia makao makuu yake kutoka Bagamoyo kwenda Dar es Salaam.

Mji wa Dar es Salaam uliendelea kuwa makao makuu ya utawala wa Waingereza baada ya Wajerumani kushindwa katika Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia mwaka 1916, hadi Tanganyika ilipopata uhuru wake mwaka 1961. Jiji hili lilikuwa makao makuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi mwaka 1972, wakati serikali ilipoamua kuhamishia makao yake makuu mjini Dodoma. Hata hivyo, Dar es Salaam iliendelea kuwa kitovu cha biashara na maarufu kama jiji kuu la Tanzania.

MUHTASARI WA MAENEO YA UTAWALA DAR ES SALAAM

1727767495325.png

CHANZO CHA TAKWIMU: TAMISEMI
UFAFANUZI WA TAKWIMU ZA MKOA
Mkoa wa Dar es Salaam unajumuisha maeneo ya utawala yanayohusisha halmashauri mbalimbali, zikiwemo Jiji la Dar es Salaam na Manispaa nne. Kwa ujumla, mkoa una jumla ya kata 102 na mitaa 564. Jiji la Dar es Salaam lina kata 36 na mitaa 159. Manispaa ya Kigamboni ina kata 9 na mitaa 67, wakati Kinondoni ina kata 20 na mitaa 106. Temeke ina kata 23 na mitaa 142, huku Ubungo ikiwa na kata 14 na mitaa 90. Halmashauri hizi zote hazina vijiji wala vitongoji.

SOMA PIA: Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

SERIKALI ZA MITAA
Kabla ya Ukoloni, utawala ulikuwa chini ya machifu na wazee wa mila. Wakati wa utawala wa Wajerumani (1884-1917), utawala wa moja kwa moja ulikuwa ukitekelezwa zaidi mijini. Katika kipindi cha utawala wa Waingereza (1917-1961), kulikuwa na utawala wa kikabila ulioanzishwa mwaka 1926. Sheria ya Serikali za Mitaa ilianzishwa mwaka 1953 na Sheria ya Miji mwaka 1946.

Baada ya mwaka 1961, mfumo wa Machifu uliondolewa na kuanzishwa mfumo wa Serikali za Mitaa. Mwaka 1972, Serikali za Mitaa zilifutwa lakini zikaanzishwa tena mwaka 1982. Mpango wa kuimarisha uwezo, uwazi, na uwajibikaji wa Serikali za Mitaa ulianzishwa mwaka 1996 ukijulikana kama "Local Government Reform Programme".

Manispaa ya Kinondoni

Jimbo la Kinondoni

  • Kata ya Kigogo
    • Mitaa: Kigogo Kati, Kigogo Mkwajuni, Kigogo Mbuyuni
  • Kata ya Mzimuni
    • Mitaa: Mtambani, Makumbusho, Mwinyimkuu, Idrisa
  • Kata ya Magomeni
    • Mitaa: Makuti 'A', Idrisa, Suna, Makuti 'B', Dossi
  • Kata ya Ndugumbi
    • Mitaa: Makanya, Mpakani, Mikoroshini, Vigaeni
  • Kata ya Tandale
    • Mitaa: Pakacha, Kwa Tumbo, Mkunduge, Mtogole, Muharitani, Sokoni
  • Kata ya Kijitonyama
    • Mitaa: Kijitonyama, Alimaua 'A', Bwawani, Mpakani 'A', Mpakani 'B', Mwenge, Alimaua 'B', Nzasa
  • Kata ya Kinondoni
    • Mitaa: Kumbukumbu, Kinondoni Mjini, Kinondoni Shamba, Ada Estate
  • Kata ya Hananasif
    • Mitaa: Hananasif, Mkunguni 'A', Mkunguni 'B', Kawawa, Kisutu
  • Kata ya Mwananyamala
    • Mitaa: Mwinjuma, Msolomi, Msisiri 'A', Kambangwa, Msisiri 'B', Kwakopa, Bwawani
  • Kata ya Makumbusho
    • Mitaa: Mchangani, Mbuyuni, Minazini, Kisiwani, Sindano, Makumbusho
Jimbo la Kawe
  • Kata ya Makongo
    • Mitaa: Makongo, Changanyikeni, Mbuyuni, Mlalakuwa
  • Kata ya Mbezi Juu
    • Mitaa: Mbezi Juu, Mbezi Kati, Mbezi Mtoni, Ndumbwi, Jogoo
  • Kata ya Wazo
    • Mitaa: Wazo, Salasala, Kilimahewa, Kilimahewa Juu, Madale, Nyakasangwe, Mivumoni, Kisanga
  • Kata ya Mabwepande
    • Mitaa: Mabwepande, Bunju 'B', Mji Mpya, Kihonzile, Mbopo
  • Kata ya Bunju
    • Mitaa: Boko, Mkoani, Dovya, Bunju 'A', Kilungule, Basihaya
  • Kata ya Mbweni
    • Mitaa: Malindi Estate, Mbweni, Bweni Teta, Mbweni Mpiji, Maputo
  • Kata ya Kunduchi
    • Mitaa: Ununio, Mtongani, Kilongawima, Tegeta, Pwani, Kondo
  • Kata ya Kawe
    • Mitaa: Ukwamani, Mzimuni, Mbezi Beach 'A', Mbezi Beach 'B'
  • Kata ya Mikocheni
    • Mitaa: Mikocheni 'A', Mikocheni 'B', Regent Estate, Ally H. Mwinyi, TPDC, Darajani
  • Kata ya Msasani
    • Mitaa: Oysterbay, Masaki, Mikoroshini, Bonde la Mpunga, Makangira

Jiji la Dar es Salaam

Jimbo la Ilala

  • Kata ya Kariakoo
    • Mitaa: Kariakoo Kaskazini, Kariakoo Magharibi, Kariakoo Mashariki
  • Kata ya Jangwani
    • Mitaa: Ukombozi, Mnazi Mmoja, Mtambani 'A', Mtambani 'B'
  • Kata ya Gerezani
    • Mitaa: Mtendeni, Gerezani Mashariki, Gerezani Magharibi
  • Kata ya Kisutu
    • Mitaa: Kisutu, Mtendeni
  • Kata ya Mchafukoge
    • Mitaa: Mchafukoge, Kitumbini
  • Kata ya Upanga Mashariki
    • Mitaa: Kitonga, Kibasila
  • Kata ya Upanga Magharibi
    • Mitaa: Fire, Charambe, Mfaume
  • Kata ya Kivukoni
    • Mitaa: Sea View, Kivukoni
  • Kata ya Ilala
    • Mitaa: Karume, Mafuriko, Sharif Shamba, Kasulu, Amana
  • Kata ya Mchikichini
    • Mitaa: Mission Quarters, Ilala Quarters, Msimbazi Bondeni

Manispaa ya Ubungo

Jimbo la Ubungo
  • Kata ya Ubungo
    • Mitaa: National Housing Corp., Kibo, Msewe, Kisiwani, Chuo Kikuu
  • Kata ya Sinza
    • Mitaa: Sinza 'A', Sinza 'B', Sinza 'C', Sinza 'D', Sinza 'E'
  • Kata ya Manzese
    • Mitaa: Midizini, Muungano, Tupendane, Mferejini, Kilimani, Mvuleni, Mwembeni, Chakula Bora, Mnazi Mmoja, Uzuri
  • Kata ya Makurumla
    • Mitaa: Kwa Jongo, Kimamba, Kilimahewa, Kagera, Mianzini, Sisi Kwa Sisi
  • Kata ya Mburahati
    • Mitaa: National Housing Corp., Barafu, Kisiwani
  • Kata ya Mabibo
    • Mitaa: Azimio, Kanuni, Matokeo, Mabibo, Mabibo Farasi, Jitegemee
  • Kata ya Makuburi
    • Mitaa: Makoka, Mwongozo, Kibangu, Makuburi Kibangu, Kajima
  • Kata ya Kimara
    • Mitaa: Baruti, Kimara Baruti, Mavurunza, Kilungule 'A', Kilungule 'B', Golani
TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024

UPDATES
- LGE2024 - Manispaa ya Temeke wamekata posho ya waandikishaji wa orodha ya wapiga kura licha ya wengi wao Leo kukosa chai

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Boni Yai: Niliingizwa kwenye difenda nikiwa na ‘boksa’ tu

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Boniface Jacob achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

- LGE2024 - Chalamila aliagiza Jeshi La Polisi kuwashughulikia wananchi watakaopinga matokeo ya Uchaguzi ujao wa Serikali Za Mitaa

- LGE2024 - ACT Wazalendo: Mawakala wa Vyama vya Siasa wanalazimishwa kwenda kuapa Halmashauri ambako ni mbali na maeneo wanayotoka

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - CHADEMA yakabidhiwa Ilani ya Uchaguzi kutoka kwa AZAKI 300 nchini

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Imekaaje ukurasa wa Tamisemi huko Twitter kueleza habari za Ilani ya CCM?

- LGE2024 - Mimi na familia yangu tumeshajiandikisha

- LGE2024 - Wakala wa CHADEMA, Jacob Emily adaiwa kuumizwa alipokua akizuia majina yaliyoletwa na watu wa CCM kuingizwa kwenye daftari la uandikishaji wapiga

- LGE2024 - Ado Shaibu: Wasimamizi wa vituo vya uandikishaji wapiga kura kuwanyima mawakala kujua idadi ya waliojiandikisha ni bomu

- LGE2024 - Kinondoni: Waandikishaji wapiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa waanza kuandikisha kabla ya muda wala uwepo wa mawakala

- LGE2024 - Amos Makalla ajiandikisha kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mikocheni

- LGE2024 - TAMISEMI hii maana yake nini? Kwa nini wakala aruke nafasi hapo kwenye Daftari?

- LGE2024 - CHADEMA: Uandikishaji wa Majina Uchaguzi Serikali za Mitaa una kasoro nyingi

- LGE2024 - Amos Makalla: Makalla: Tulipokuwa tunajiandaa na Uchaguzi wenzetu walikuwa kwenye Maandamano!

- LGE2024 - Vijana wa CCM wamshambulia Mjumbe wa Kamati ya CHADEMA katika Kituo cha Uandikishaji

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - CP Awadhi Haji: Sio kweli kwamba Jeshi la Polisi linakandamiza baadhi ya Vyama vya Siasa

- LGE2024 - Mchungaji Israel Ernest Ngatunga aelezea sababu ya kupigwa tofali, asema CCM walikuwa wanawalaghai watu kuwaandikisha kwenye daftali lisilo rasmi

- Siasa imeendelea kupenyezwa kwenye michezo bila kujali athari zake mbeleni, mpaka Tanzania tufungiwe ndio akili zitakaa sawa!

- LGE2024 - Viongozi CHADEMA Jimbo la Kibamba watoa takwimu za uandikishaji Uchaguzi Serikali za mitaa

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Mwenyekiti Serikali Mtaa Sangara ajiunga ACT Wazalendo

- LGE2024 - CCM wacharuana, Uchaguzi Mwananyamala-Kisiwani waahirishwa

- LGE2024 - Kigamboni: CCM wararuana wenyewe kwa wenyewe. Vurugu zapamba moto kwenye Uchaguzi wa ndani ya chama

- LGE2024 - Makalla: Rais Samia ameleta hamasa kubwa kwa wananchi kujiandikisha kwa wingi uchaguzi wa Serikali za mitaa

- LGE2024 - Amos Makalla: CHADEMA imegawanyika, kuna upande wa Lissu na upande wa Mbowe

- LGE2024 - Dar: Vurugu wakati wa kupiga kura maoni kata ya Yombo vituka

- LGE2024 - TAKUKURU hawana meno kwenye rushwa ya uchaguzi wa ndani CCM?

- LGE2024 - CUF: Zoezi la kuchukua na kurejesha fomu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa lilikuwa na dosari, tunashauri muda uongezwe

- LGE2024 - Amos Makalla: CHADEMA hawakuwa na kura za maoni kupata wagombea uchaguzi wa Serikali za Mitaa

- LGE2024 - Askofu Ruwa'ichi: Kuandikisha watoto kupiga Kura ni Hatari kwa Taifa, Tunalea Wahuni na Wezi

- LGE2024 Boniface Jacob: CHADEMA tumesimamisha wagombea katika Mitaa 547 kati ya 564, ikiyobaki tumewaachia vyama vingine

- LGE2024 Makalla ampongeza Lissu kukiri CHADEMA haina wagombea Serikali za Mitaa

- LGE2024 ACT Wazalendo: Kuna hujuma kubwa imepangwa dhidi ya wagombea wetu

- LGE2024 Kibamba: Inadaiwa mtia nia ACT Wazalendo Kata ya Kwembe aenguliwa sababu ya kazi yake ya ujasiriamali!

- LGE2024 Kinondoni: Mtaa wa Mwinyimkuu wagombea wa vyama vya upinzani Uchaguzi Serikali za Mitaa waenguliwa

- LGE2024 ACT wazalendo: Wagombea wetu Kigogo, Dar es salaam hawajateuliwa

- LGE2024 Mbowe: Taifa linaendelea kushuhudia kwa njia mbalimbali ukiukwaji wa demokrasia

- LGE2024 - Makalla: CCM hatuhitaji upendeleo wala kubebwa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, TAMISEMI itende haki

- LGE2024 - Askofu Mwamakula: Mtaa wa Stop Over mgombea wa CHADEMA ameenguliwa kwa kuandika ni mjasiriamali, huku wa CCM akipitishwa kwa kuandika mfanyabiashara

- Boniface Jacob awataka wanachama wa CHADEMA wasiwe na sifa za nzi wawe wakali kama nyuki, atangaza msako wa wale waliowaengua wagombea wao

- LGE2024 - CHADEMA: Mkoa wa DSM wenye Mitaa 636 Wamekatwa majina ya Wagombea wetu 571 wamebaki
45 tu

- LGE2024 Abbas Mtemvu: Wana-CCM ambao hawajateuliwa kura za maoni watulie na kuongeza nguvu kazi kwenye uchaguzi

- LGE2024 - Amos Makalla: Tundu Lissu hana haki ya kupiga Kura katika nchi hii

- LGE2024 - Makalla: CCM tumeweka mapingamizi, tunaamini haki itatendeka

- Kuelekea 2025 Rais wa Wanafunzi UDSM: Wanafunzi wa Vyuo tutamchagua Samia

- LGE2024 - CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi Serikali za mitaa

- LGE2024 Kindononi: Mbunge Abbas akabidhi feni kwaajili ya ukumbi wa mikutano, agharamia na ufungaji wa feni hizo

- LGE2024 - Goba: Mgombea wa CCM licha ya kutokuwa na kazi (jobless) amepitishwa lakini mgombea wa CHADEMA ambaye alikuwa ni dereva ameenguliwa

- LGE2024 - TAMISEMI yawanoa Waandishi wa Habari Mtandaoni (Online TV) kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuhakikisha hawatoi taarifa kwa upendeleo

- LGE2024 - Mkurugenzi wa TAMISEMI: Waandishi wa habari msitumie neno "Kukatwa Wagombea", ni kinyume na kanuni za Uchaguzi

- LGE2024 Wananchi Dar: Kupiga kura ni njia ya kuchagua maendeleo yetu

- LGE2024 Dar: Wagombea wa Serikali za Mitaa CHADEMA, Wagoma kuondoka kwa DC Ubungo hadi wajue hatima yao

- LGE2024 Boniface Jacob: Halmashauri ya manispaa ya Ubungo imekataa rufaa zote za CHADEMA

- LGE2024 Freeman Mbowe: Tutanyukana lakini hatutakigawa Chama, Hiki si Chama cha Mbowe, sio cha Lissu wala Mnyika, ni cha Watanzania wengi

- LGE2024 Mnyika apinga kauli ya Waziri Mchengerwa Kuhusu Ushirikishwaji wa Vyama Vya Siasa

- LGE2024 Mgombea Mtaa wa Mshikamano, Mbezi Louis: Tutatumia njia yoyote dola ya Mtaa ibaki CCM

- Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON

- Kuelekea 2025 LGE2024 CHADEMA hali inazidi kuwa tete. John Mrema asema kama kuna ushahidi wa tuhuma za Rushwa uwasilishwe haraka kwaajili ya hatua za kinidhamu

- LGE2024 - Mwananchi: Mimi nimejiandikisha ila kura sitapiga kwa sababu CCM walimpitisha mgombea ambae hakushinda kura za maoni

- LGE2024 - Makalla: Wagombea wa CHADEMA sifa yao kuu ni ukamanda Wagombea wa CCM sifa yao ni Utu na unyenyekevu na wanapatikana kidemokrasia wachagueni hao tu

- Kuelekea 2025 LGE2024 Mbunge Abbas akabidhi pikipiki kwa vijana Golan itumike kama kitega uchumi

- LGE2024 Chalamila: Kwa atakayetishia usalama siku ya uchaguzi tutamnyakua na hatokuwa salama

- LGE2024 - ACT Wazalendo Watoa tamko kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

- Kuelekea 2025 - Albert Chalamila: Inashangaza muislamu safi anakuwa kinara wa kumsema ovyo Rais Samia

- LGE2024 - Siku saba za moto, mwenezi CPA Makalla aunguruma Kigamboni uchaguzi wa Serikali za Mitaa

- LGE2024 - Mgombea ACT- WAZALENDO: Mkituchagua tutaweka Wi-Fi ya bure kwenye Ofisi za Serikali za Mitaa

- LGE2024 - LHRC yawajengea uwezo waangalizi wake kuelekea uchaguzi Serikali za Mitaa

- LGE2024 - Amos Makalla: Mitaa 59 Ilala kusimama bila Wapinzani

- LGE2024 Dar: Kada wa CCM avishukia vyama vya upinzani kwa kushindwa kusimamisha wagombea. Asema CCM haijadharau Uchaguzi

- LGE2024 Makalla: CCM hatucheki na mtu katika kushika Dola, tumejipanga

- LGE2024 Mwenyekiti wa TLP Taifa, Ivan Maganza awanadi wagombea wa CCM

- LGE2024 Mary Chatanda: CCM ina Imani kubwa na Wanawake kwa Maendeleo ya Taifa

- LGE2024 RC Chalamila azindua Bata la Disemba, kujipoza na majanga ya Kariakoo "Usije kwenye Bata kama hujapiga Kura Novemba 27"

- LGE2024 Mussa Zungu ajitosa kampeni za Mtaa kwa Mtaa, awaombea Kura Wagombea CCM, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

- LGE2024 Babu Duni: Kapigeni kura miaka mingine mitano migumu isije tena, Serikali za Mitaa ndio Ufalme wenu. Imizaneni kupiga kura

- LGE2024 Mgombea wa CCM Uchaguzi Serikali ya Mtaa Kunduchi apita akipiga mdundiko bila kutoa ahadi yoyote kwa wapiga kura wake

- LGE2024 - Babu Duni: CCM wakishinda kwa nguvu, Wananchi mmewaachia

- LGE2024 - Ado Shaibu: Umoja wa CUF na ACT Wazalendo ni Hekima itokayoikomboa Nakapanya

- LGE2024 - RC Chalamila: Jitokezeni kupiga kura tuepuke siasa za chuki

- LGE2024 - Makalla: CHADEMA acheni visingizio, migogoro ya ndani ya chama chenu na maandalizi mabovu ni kisiki kwenu kufanikiwa Uchaguzi Serikali za mitaa

- LGE2024 - Chalamila: Kwa atakayetishia usalama siku ya uchaguzi tutamnyakua na hatokuwa salama

- LGE2024 Shangwe Ayo (ACT Wazalendo): Tunakwenda kumuondoa shetani Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

- LGE2024 Dar: Nchimbi afunga kampeni, asema wagombea 61% CCM watapigiwa kura ya ndio au hapana, wasibweteke

- LGE2024 Nchimbi: Tunasumbuliwa na maombi nchi jirani kujifunza Samia amefanyaje kueleta maendeleo nchini, kazi yake nzuri inajiuza

- LGE2024 Nchimbi: Ukiongea matusi wanaenda kusimuliana "Yule mwehu wetu ulimsikia leo". Wanakupigia makofi lakini kura wanakunyima

- LGE2024 Makamu Mwenyekiti wa ACT Bara: CCM imekuwa ni genge la wahalifu. Kazi pekee wanayoweza ni kuiba rasilimali za umma!

- LGE2024 Dar: Kada wa CCM avishukia vyama vya upinzani kwa kushindwa kusimamisha wagombea. Asema CCM haijadharau Uchaguzi

- LGE2024 Amos Makalla: Mafanikio yaliyoletwa na CCM nchini hayahitaji tochi

- LGE2024 Mussa Zungu anapita mtaa kwa mtaa kuombea kura CCM. Haoni aibu jinsi mitaa na hali za wananchi zilivyokuwa mbaya?

- LGE2024 Chalamila: Kumbe Kuna uchawi kwenye uchaguzi, nimeshangaa kusikia huo muujiza wa watu kupiga kura kabla vituo havijafunguliwa

- LGE2024 Dar: RC Chalamila ashiriki zoezi la kura uchaguzi serikali za mitaa

- LGE2024 Dar: Prof. Kitila Mkumbo ashiriki kupiga kura, asema wananchi wasichukulie poa uchaguzi huu

- LGE2024 Wananchi Dar wafurahishwa na Utaratibu wa Upigaji Kura

- LGE2024 Kigamboni: Majina ya wapiga kura Mtaa wa Upendo hayasomeki vizuri na kutopangwa kwa kufuata alfabeti imekuwa ni changamoto sana leo

- LGE2024 Kituo cha Kupigia Kura cha Lugalo, Kawe chakutwa na Maboksi ya Kura zilizopigwa kabla ya muda wa kupiga kura

- LGE2024 Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Bin Ally: Twendeni tukachague viongozi tunaowataka

- LGE2024 Kigamboni: Mawakala wa CHADEMA walalamika kutokuapishwa hadi sasa wakati Mawakala wa CCM wakiendelea na mchakato huo

- LGE2024 Dar: Mwenyekiti Baraza Vyama vya Siasa akanusha madai ya baadhi ya vituo vya kupigia kura kuendesha zoezi kinyume na utaratibu

- LGE2024 Msimamizi afafanua kukosekana kwa majina Mtoni kwa Azizi Ally

- LGE2024 Wasimamizi wa Uchaguzi Mtaa wa Sinza B wabandika Majina ya Wpaiga Kura baada ya kulalamikiwa na Wananchi

- LGE2024 - Dar es Salaam: Mgombea wa CHADEMA aliyeuliwa kwa risasi, Kamanda Muliro asema amefariki kutokana na shinikizo la damu!

- LGE2024 TANZIA Mgombea CHADEMA nafasi ya Ujumbe Kata ya Gongo la Mboto afariki kwa kipigo cha polisi

- LGE2024 Dar es Salaam: Mgombea wa CHADEMA aliyeuliwa kwa risasi, Kamanda Muliro asema amefariki kutokana na shinikizo la damu!

- LGE2024 Mchengerwa: Matokeo ya jumla Uchaguzi Serikali za Mitaa kutangazwa kesho Novemba 28, 2024

- Forums General Forums Jukwaa la Siasa LGE2024 Mchengerwa: Baadhi ya maeneo kulikotokea sintofahamu, mbalimbali watafanya uchaguzi kesho November 28, 2024

- LGE2024 Dar es Salaam: Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda uenyekiti wa mtaa wa Nyambwela

- LGE2024 - Dar es Salaam: Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda uenyekiti wa mtaa wa Nyambwela

- LGE2024 - Mchengerwa: Matokeo ya jumla Uchaguzi Serikali za Mitaa kutangazwa kesho Novemba 28, 2024

- LGE2024 - Mchengerwa: Baadhi ya maeneo kulikotokea sintofahamu, mbalimbali watafanya uchaguzi kesho November 28, 2024

- LGE2024 - Mchengerwa: Changamoto zilizojitokeza zinatusaidia kujipanga uchaguzi ujao

- LGE2024 - Dar: Mwenyekiti Baraza Vyama vya Siasa akanusha madai ya baadhi ya vituo vya kupigia kura kuendesha zoezi kinyume na utaratibu

- LGE2024 - Dar: Hatimaye majina ya wapiga kura Sinza B yabandikwa, sababu ya kuchelewa bado haijajulikana

- LGE2024 - TANZIA - Mgombea CHADEMA nafasi ya Ujumbe Kata ya Gongo la Mboto afariki kwa kipigo cha polisi

- LGE2024 - Wenyeviti wateule 106 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuapishwa Kinondoni

- LGE2024 - Mwenyekiti Kijitonyama: Uchaguzi ulikuwa huru na haki

- LGE2024 - ACT Wazalendo: Vyombo vya Dola vilitumika kuweka kura bandia kwenye maboksi ya kura

- Idris Sultan: Madereva wote wa Serikali wavae Samia Suit. Mnavaa suti za Kaunda wakati hamumjui, Samia mnamjua

- LGE2024 - Askofu Ruwa'ichi: Hatuwezi kukaa kimya wakati tunapitia vipindi vigumu, ni jukumu letu kutoa matamko

- LGE2024 - Dar: Mgombea wa CHADEMA aliyeuawa Wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa aagwa, Kuzikwa Bukoba

- Kuelekea 2025 - Jaji Warioba: Jeshi la Polisi limeingizwa kwenye Siasa, linatoa matamko ya Kisiasa, liachwe lifanye kazi yake

- LGE2024 - Katibu Mkuu wa NRA: Watu wanasema wametekwa kwa lengo la kuchafua Nchi. Tunafanya kosa kwa kuzungumza Siasa kama ugomvi

- LGE2024 - Katibu Mkuu NRA: Sasa hivi yamekuwa maigizo kila mtu anasema katekwa, Uchaguzi ulikuwa wa Huru na Haki

TAARIFA ZA MIKOA MINGINE NA MATUKIO MUHIMU:
- LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

- LGE2024 - Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video

- LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

- LGE2024 - Dar es Salaam: Vyama 14 vya Siasa vyadai kuridhishwa na matokeo ya Uchaguzi

- LGE2024 - Taasisi ya FOTO: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa na Huru na Haki

- Kuelekea 2025 - Mwigulu aahidi kuwahudumia watoto wawili wa aliyekuwa Mtumishi wa TRA

IDADI YA WATU WALIOJIANDIKISHA
- LGE2024 - News Alert: - Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Mahakama yaipa Ruhusa TAMISEMI kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

- LGE2024 - Dar: CHADEMA wasusia uchaguzi Temeke, wawaondoa mawakala wao vituoni

MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
- LIVE - LGE2024 - Matokeo ya Jumla Uchaguzi Serikali za Mitaa kutangazwa

- LGE2024 - CCM yashinda 98.83% Wenyeviti Serikali za Mitaa
 
Baada ya Sultani Majid bin Said kuhamia Dar es Salaam, mji ulianza kupanuka na uchumi wake kukua kwa kasi kubwa kwa muda mfupi hadi alipofariki mwaka 1870. Kifo chake kilisababisha kudorora kwa maendeleo ya mji.
Kumbe Sultan alitawala bara pia
 
Nitskuwa nimejitulizs zangu maskani, sioni kiongozi anaefaa, yote ni yale yale, huwa sipotezi muda kupiga kura.
 
WanaJF,​

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.

View attachment 3111883
Ramani ya Jiji la Dar es Salaam
HISTORIA YA JIJI LA DAR ES SALAAM
Jiji la Dar es Salaam lilianza kama kijiji kidogo cha wavuvi kilichojulikana kama Mzizima. Kijiji hiki kilianzishwa na Wabalawa ambao walichanganyika na Wazaramo kuelekea kwenye maeneo ya Bara la Afrika Mashariki kupitia njia za msafara zilizojulikana kama “Caravan Routes”. Ujenzi wa makao ya Sultani pamoja na bandari ulianza rasmi mwaka 1865 katika eneo la kijiji cha Mzizima. Ujenzi huo ulikamilika mwaka 1866, na Sultani Majid bin Said akaamua kuhamia Dar es Salaam mwaka huo.

Baada ya Sultani Majid bin Said kuhamia Dar es Salaam, mji ulianza kupanuka na uchumi wake kukua kwa kasi kubwa kwa muda mfupi hadi alipofariki mwaka 1870. Kifo chake kilisababisha kudorora kwa maendeleo ya mji. Hata hivyo, hali hiyo ilianza kubadilika mwaka 1884 kufuatia kuanzishwa kwa koloni la Wajerumani la Afrika Mashariki. Mwaka 1891, serikali ya kikoloni ya Kijerumani ilihamishia makao makuu yake kutoka Bagamoyo kwenda Dar es Salaam.

Mji wa Dar es Salaam uliendelea kuwa makao makuu ya utawala wa Waingereza baada ya Wajerumani kushindwa katika Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia mwaka 1916, hadi Tanganyika ilipopata uhuru wake mwaka 1961. Jiji hili lilikuwa makao makuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi mwaka 1972, wakati serikali ilipoamua kuhamishia makao yake makuu mjini Dodoma. Hata hivyo, Dar es Salaam iliendelea kuwa kitovu cha biashara na maarufu kama jiji kuu la Tanzania.

MUHTASARI WA MAENEO YA UTAWALA DAR ES SALAAM

View attachment 3111884
CHANZO CHA TAKWIMU: TAMISEMI
UFAFANUZI WA TAKWIMU ZA MKOA
Mkoa wa Dar es Salaam unajumuisha maeneo ya utawala yanayohusisha halmashauri mbalimbali, zikiwemo Jiji la Dar es Salaam na Manispaa nne. Kwa ujumla, mkoa una jumla ya kata 102 na mitaa 564. Jiji la Dar es Salaam lina kata 36 na mitaa 159. Manispaa ya Kigamboni ina kata 9 na mitaa 67, wakati Kinondoni ina kata 20 na mitaa 106. Temeke ina kata 23 na mitaa 142, huku Ubungo ikiwa na kata 14 na mitaa 90. Halmashauri hizi zote hazina vijiji wala vitongoji.

SOMA PIA: Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

SERIKALI ZA MITAA
Kabla ya Ukoloni, utawala ulikuwa chini ya machifu na wazee wa mila. Wakati wa utawala wa Wajerumani (1884-1917), utawala wa moja kwa moja ulikuwa ukitekelezwa zaidi mijini. Katika kipindi cha utawala wa Waingereza (1917-1961), kulikuwa na utawala wa kikabila ulioanzishwa mwaka 1926. Sheria ya Serikali za Mitaa ilianzishwa mwaka 1953 na Sheria ya Miji mwaka 1946.

Baada ya mwaka 1961, mfumo wa Machifu uliondolewa na kuanzishwa mfumo wa Serikali za Mitaa. Mwaka 1972, Serikali za Mitaa zilifutwa lakini zikaanzishwa tena mwaka 1982. Mpango wa kuimarisha uwezo, uwazi, na uwajibikaji wa Serikali za Mitaa ulianzishwa mwaka 1996 ukijulikana kama "Local Government Reform Programme".

Manispaa ya Kinondoni

Jimbo la Kinondoni

  • Kata ya Kigogo
    • Mitaa: Kigogo Kati, Kigogo Mkwajuni, Kigogo Mbuyuni
  • Kata ya Mzimuni
    • Mitaa: Mtambani, Makumbusho, Mwinyimkuu, Idrisa
  • Kata ya Magomeni
    • Mitaa: Makuti 'A', Idrisa, Suna, Makuti 'B', Dossi
  • Kata ya Ndugumbi
    • Mitaa: Makanya, Mpakani, Mikoroshini, Vigaeni
  • Kata ya Tandale
    • Mitaa: Pakacha, Kwa Tumbo, Mkunduge, Mtogole, Muharitani, Sokoni
  • Kata ya Kijitonyama
    • Mitaa: Kijitonyama, Alimaua 'A', Bwawani, Mpakani 'A', Mpakani 'B', Mwenge, Alimaua 'B', Nzasa
  • Kata ya Kinondoni
    • Mitaa: Kumbukumbu, Kinondoni Mjini, Kinondoni Shamba, Ada Estate
  • Kata ya Hananasif
    • Mitaa: Hananasif, Mkunguni 'A', Mkunguni 'B', Kawawa, Kisutu
  • Kata ya Mwananyamala
    • Mitaa: Mwinjuma, Msolomi, Msisiri 'A', Kambangwa, Msisiri 'B', Kwakopa, Bwawani
  • Kata ya Makumbusho
    • Mitaa: Mchangani, Mbuyuni, Minazini, Kisiwani, Sindano, Makumbusho
Jimbo la Kawe
  • Kata ya Makongo
    • Mitaa: Makongo, Changanyikeni, Mbuyuni, Mlalakuwa
  • Kata ya Mbezi Juu
    • Mitaa: Mbezi Juu, Mbezi Kati, Mbezi Mtoni, Ndumbwi, Jogoo
  • Kata ya Wazo
    • Mitaa: Wazo, Salasala, Kilimahewa, Kilimahewa Juu, Madale, Nyakasangwe, Mivumoni, Kisanga
  • Kata ya Mabwepande
    • Mitaa: Mabwepande, Bunju 'B', Mji Mpya, Kihonzile, Mbopo
  • Kata ya Bunju
    • Mitaa: Boko, Mkoani, Dovya, Bunju 'A', Kilungule, Basihaya
  • Kata ya Mbweni
    • Mitaa: Malindi Estate, Mbweni, Bweni Teta, Mbweni Mpiji, Maputo
  • Kata ya Kunduchi
    • Mitaa: Ununio, Mtongani, Kilongawima, Tegeta, Pwani, Kondo
  • Kata ya Kawe
    • Mitaa: Ukwamani, Mzimuni, Mbezi Beach 'A', Mbezi Beach 'B'
  • Kata ya Mikocheni
    • Mitaa: Mikocheni 'A', Mikocheni 'B', Regent Estate, Ally H. Mwinyi, TPDC, Darajani
  • Kata ya Msasani
    • Mitaa: Oysterbay, Masaki, Mikoroshini, Bonde la Mpunga, Makangira

Jiji la Dar es Salaam

Jimbo la Ilala

  • Kata ya Kariakoo
    • Mitaa: Kariakoo Kaskazini, Kariakoo Magharibi, Kariakoo Mashariki
  • Kata ya Jangwani
    • Mitaa: Ukombozi, Mnazi Mmoja, Mtambani 'A', Mtambani 'B'
  • Kata ya Gerezani
    • Mitaa: Mtendeni, Gerezani Mashariki, Gerezani Magharibi
  • Kata ya Kisutu
    • Mitaa: Kisutu, Mtendeni
  • Kata ya Mchafukoge
    • Mitaa: Mchafukoge, Kitumbini
  • Kata ya Upanga Mashariki
    • Mitaa: Kitonga, Kibasila
  • Kata ya Upanga Magharibi
    • Mitaa: Fire, Charambe, Mfaume
  • Kata ya Kivukoni
    • Mitaa: Sea View, Kivukoni
  • Kata ya Ilala
    • Mitaa: Karume, Mafuriko, Sharif Shamba, Kasulu, Amana
  • Kata ya Mchikichini
    • Mitaa: Mission Quarters, Ilala Quarters, Msimbazi Bondeni

Manispaa ya Ubungo

Jimbo la Ubungo
  • Kata ya Ubungo
    • Mitaa: National Housing Corp., Kibo, Msewe, Kisiwani, Chuo Kikuu
  • Kata ya Sinza
    • Mitaa: Sinza 'A', Sinza 'B', Sinza 'C', Sinza 'D', Sinza 'E'
  • Kata ya Manzese
    • Mitaa: Midizini, Muungano, Tupendane, Mferejini, Kilimani, Mvuleni, Mwembeni, Chakula Bora, Mnazi Mmoja, Uzuri
  • Kata ya Makurumla
    • Mitaa: Kwa Jongo, Kimamba, Kilimahewa, Kagera, Mianzini, Sisi Kwa Sisi
  • Kata ya Mburahati
    • Mitaa: National Housing Corp., Barafu, Kisiwani
  • Kata ya Mabibo
    • Mitaa: Azimio, Kanuni, Matokeo, Mabibo, Mabibo Farasi, Jitegemee
  • Kata ya Makuburi
    • Mitaa: Makoka, Mwongozo, Kibangu, Makuburi Kibangu, Kajima
  • Kata ya Kimara
    • Mitaa: Baruti, Kimara Baruti, Mavurunza, Kilungule 'A', Kilungule 'B', Golani
TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024

UPDATES
- LGE2024 - Manispaa ya Temeke wamekata posho ya waandikishaji wa orodha ya wapiga kura licha ya wengi wao Leo kukosa chai

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Boni Yai: Niliingizwa kwenye difenda nikiwa na ‘boksa’ tu

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Boniface Jacob achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

- LGE2024 - Chalamila aliagiza Jeshi La Polisi kuwashughulikia wananchi watakaopinga matokeo ya Uchaguzi ujao wa Serikali Za Mitaa

- LGE2024 - ACT Wazalendo: Mawakala wa Vyama vya Siasa wanalazimishwa kwenda kuapa Halmashauri ambako ni mbali na maeneo wanayotoka

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - CHADEMA yakabidhiwa Ilani ya Uchaguzi kutoka kwa AZAKI 300 nchini

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Imekaaje ukurasa wa Tamisemi huko Twitter kueleza habari za Ilani ya CCM?

- LGE2024 - Mimi na familia yangu tumeshajiandikisha

- LGE2024 - Wakala wa CHADEMA, Jacob Emily adaiwa kuumizwa alipokua akizuia majina yaliyoletwa na watu wa CCM kuingizwa kwenye daftari la uandikishaji wapiga

- LGE2024 - Ado Shaibu: Wasimamizi wa vituo vya uandikishaji wapiga kura kuwanyima mawakala kujua idadi ya waliojiandikisha ni bomu

- LGE2024 - Kinondoni: Waandikishaji wapiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa waanza kuandikisha kabla ya muda wala uwepo wa mawakala

- LGE2024 - Amos Makalla ajiandikisha kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mikocheni

- LGE2024 - TAMISEMI hii maana yake nini? Kwa nini wakala aruke nafasi hapo kwenye Daftari?

- LGE2024 - CHADEMA: Uandikishaji wa Majina Uchaguzi Serikali za Mitaa una kasoro nyingi

- LGE2024 - Amos Makalla: Makalla: Tulipokuwa tunajiandaa na Uchaguzi wenzetu walikuwa kwenye Maandamano!

- LGE2024 - Vijana wa CCM wamshambulia Mjumbe wa Kamati ya CHADEMA katika Kituo cha Uandikishaji

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - CP Awadhi Haji: Sio kweli kwamba Jeshi la Polisi linakandamiza baadhi ya Vyama vya Siasa

- LGE2024 - Mchungaji Israel Ernest Ngatunga aelezea sababu ya kupigwa tofali, asema CCM walikuwa wanawalaghai watu kuwaandikisha kwenye daftali lisilo rasmi

- Siasa imeendelea kupenyezwa kwenye michezo bila kujali athari zake mbeleni, mpaka Tanzania tufungiwe ndio akili zitakaa sawa!

- LGE2024 - Viongozi CHADEMA Jimbo la Kibamba watoa takwimu za uandikishaji Uchaguzi Serikali za mitaa

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Mwenyekiti Serikali Mtaa Sangara ajiunga ACT Wazalendo

- LGE2024 - CCM wacharuana, Uchaguzi Mwananyamala-Kisiwani waahirishwa

- LGE2024 - Kigamboni: CCM wararuana wenyewe kwa wenyewe. Vurugu zapamba moto kwenye Uchaguzi wa ndani ya chama

- LGE2024 - Makalla: Rais Samia ameleta hamasa kubwa kwa wananchi kujiandikisha kwa wingi uchaguzi wa Serikali za mitaa

- LGE2024 - Amos Makalla: CHADEMA imegawanyika, kuna upande wa Lissu na upande wa Mbowe

- LGE2024 - Dar: Vurugu wakati wa kupiga kura maoni kata ya Yombo vituka

- LGE2024 - TAKUKURU hawana meno kwenye rushwa ya uchaguzi wa ndani CCM?

- LGE2024 - CUF: Zoezi la kuchukua na kurejesha fomu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa lilikuwa na dosari, tunashauri muda uongezwe

- LGE2024 - Amos Makalla: CHADEMA hawakuwa na kura za maoni kupata wagombea uchaguzi wa Serikali za Mitaa

- LGE2024 - Askofu Ruwa'ichi: Kuandikisha watoto kupiga Kura ni Hatari kwa Taifa, Tunalea Wahuni na Wezi

- LGE2024 Boniface Jacob: CHADEMA tumesimamisha wagombea katika Mitaa 547 kati ya 564, ikiyobaki tumewaachia vyama vingine

- LGE2024 Makalla ampongeza Lissu kukiri CHADEMA haina wagombea Serikali za Mitaa

- LGE2024 ACT Wazalendo: Kuna hujuma kubwa imepangwa dhidi ya wagombea wetu

- LGE2024 Kibamba: Inadaiwa mtia nia ACT Wazalendo Kata ya Kwembe aenguliwa sababu ya kazi yake ya ujasiriamali!

- LGE2024 Kinondoni: Mtaa wa Mwinyimkuu wagombea wa vyama vya upinzani Uchaguzi Serikali za Mitaa waenguliwa

- LGE2024 ACT wazalendo: Wagombea wetu Kigogo, Dar es salaam hawajateuliwa

- LGE2024 Mbowe: Taifa linaendelea kushuhudia kwa njia mbalimbali ukiukwaji wa demokrasia

- LGE2024 - Makalla: CCM hatuhitaji upendeleo wala kubebwa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, TAMISEMI itende haki

- LGE2024 - Askofu Mwamakula: Mtaa wa Stop Over mgombea wa CHADEMA ameenguliwa kwa kuandika ni mjasiriamali, huku wa CCM akipitishwa kwa kuandika mfanyabiashara

- Boniface Jacob awataka wanachama wa CHADEMA wasiwe na sifa za nzi wawe wakali kama nyuki, atangaza msako wa wale waliowaengua wagombea wao

- LGE2024 - CHADEMA: Mkoa wa DSM wenye Mitaa 636 Wamekatwa majina ya Wagombea wetu 571 wamebaki
45 tu

- LGE2024 Abbas Mtemvu: Wana-CCM ambao hawajateuliwa kura za maoni watulie na kuongeza nguvu kazi kwenye uchaguzi

- LGE2024 - Amos Makalla: Tundu Lissu hana haki ya kupiga Kura katika nchi hii

- LGE2024 - Makalla: CCM tumeweka mapingamizi, tunaamini haki itatendeka

- Kuelekea 2025 Rais wa Wanafunzi UDSM: Wanafunzi wa Vyuo tutamchagua Samia

- LGE2024 - CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi Serikali za mitaa

- LGE2024 Kindononi: Mbunge Abbas akabidhi feni kwaajili ya ukumbi wa mikutano, agharamia na ufungaji wa feni hizo

- LGE2024 - Goba: Mgombea wa CCM licha ya kutokuwa na kazi (jobless) amepitishwa lakini mgombea wa CHADEMA ambaye alikuwa ni dereva ameenguliwa

- LGE2024 - TAMISEMI yawanoa Waandishi wa Habari Mtandaoni (Online TV) kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuhakikisha hawatoi taarifa kwa upendeleo

- LGE2024 - Mkurugenzi wa TAMISEMI: Waandishi wa habari msitumie neno "Kukatwa Wagombea", ni kinyume na kanuni za Uchaguzi

- LGE2024 Wananchi Dar: Kupiga kura ni njia ya kuchagua maendeleo yetu

- LGE2024 Dar: Wagombea wa Serikali za Mitaa CHADEMA, Wagoma kuondoka kwa DC Ubungo hadi wajue hatima yao

- LGE2024 Boniface Jacob: Halmashauri ya manispaa ya Ubungo imekataa rufaa zote za CHADEMA

- LGE2024 Freeman Mbowe: Tutanyukana lakini hatutakigawa Chama, Hiki si Chama cha Mbowe, sio cha Lissu wala Mnyika, ni cha Watanzania wengi

- LGE2024 Mnyika apinga kauli ya Waziri Mchengerwa Kuhusu Ushirikishwaji wa Vyama Vya Siasa

- LGE2024 Mgombea Mtaa wa Mshikamano, Mbezi Louis: Tutatumia njia yoyote dola ya Mtaa ibaki CCM

- Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON

- Kuelekea 2025 LGE2024 CHADEMA hali inazidi kuwa tete. John Mrema asema kama kuna ushahidi wa tuhuma za Rushwa uwasilishwe haraka kwaajili ya hatua za kinidhamu

- LGE2024 - Mwananchi: Mimi nimejiandikisha ila kura sitapiga kwa sababu CCM walimpitisha mgombea ambae hakushinda kura za maoni

- LGE2024 - Makalla: Wagombea wa CHADEMA sifa yao kuu ni ukamanda Wagombea wa CCM sifa yao ni Utu na unyenyekevu na wanapatikana kidemokrasia wachagueni hao tu

- Kuelekea 2025 LGE2024 Mbunge Abbas akabidhi pikipiki kwa vijana Golan itumike kama kitega uchumi

- LGE2024 Chalamila: Kwa atakayetishia usalama siku ya uchaguzi tutamnyakua na hatokuwa salama

- LGE2024 - ACT Wazalendo Watoa tamko kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

- Kuelekea 2025 - Albert Chalamila: Inashangaza muislamu safi anakuwa kinara wa kumsema ovyo Rais Samia

- LGE2024 - Siku saba za moto, mwenezi CPA Makalla aunguruma Kigamboni uchaguzi wa Serikali za Mitaa

- LGE2024 - Mgombea ACT- WAZALENDO: Mkituchagua tutaweka Wi-Fi ya bure kwenye Ofisi za Serikali za Mitaa

- LGE2024 - LHRC yawajengea uwezo waangalizi wake kuelekea uchaguzi Serikali za Mitaa

- LGE2024 - Amos Makalla: Mitaa 59 Ilala kusimama bila Wapinzani

- LGE2024 Dar: Kada wa CCM avishukia vyama vya upinzani kwa kushindwa kusimamisha wagombea. Asema CCM haijadharau Uchaguzi

- LGE2024 Makalla: CCM hatucheki na mtu katika kushika Dola, tumejipanga

- LGE2024 Mwenyekiti wa TLP Taifa, Ivan Maganza awanadi wagombea wa CCM

- LGE2024 Mary Chatanda: CCM ina Imani kubwa na Wanawake kwa Maendeleo ya Taifa

- LGE2024 RC Chalamila azindua Bata la Disemba, kujipoza na majanga ya Kariakoo "Usije kwenye Bata kama hujapiga Kura Novemba 27"

- LGE2024 Mussa Zungu ajitosa kampeni za Mtaa kwa Mtaa, awaombea Kura Wagombea CCM, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

- LGE2024 Babu Duni: Kapigeni kura miaka mingine mitano migumu isije tena, Serikali za Mitaa ndio Ufalme wenu. Imizaneni kupiga kura

- LGE2024 Mgombea wa CCM Uchaguzi Serikali ya Mtaa Kunduchi apita akipiga mdundiko bila kutoa ahadi yoyote kwa wapiga kura wake

- LGE2024 - Babu Duni: CCM wakishinda kwa nguvu, Wananchi mmewaachia

- LGE2024 - Ado Shaibu: Umoja wa CUF na ACT Wazalendo ni Hekima itokayoikomboa Nakapanya

- LGE2024 - RC Chalamila: Jitokezeni kupiga kura tuepuke siasa za chuki

- LGE2024 - Makalla: CHADEMA acheni visingizio, migogoro ya ndani ya chama chenu na maandalizi mabovu ni kisiki kwenu kufanikiwa Uchaguzi Serikali za mitaa

- LGE2024 - Chalamila: Kwa atakayetishia usalama siku ya uchaguzi tutamnyakua na hatokuwa salama

- LGE2024 Shangwe Ayo (ACT Wazalendo): Tunakwenda kumuondoa shetani Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

- LGE2024 Dar: Nchimbi afunga kampeni, asema wagombea 61% CCM watapigiwa kura ya ndio au hapana, wasibweteke

- LGE2024 Nchimbi: Tunasumbuliwa na maombi nchi jirani kujifunza Samia amefanyaje kueleta maendeleo nchini, kazi yake nzuri inajiuza

- LGE2024 Nchimbi: Ukiongea matusi wanaenda kusimuliana "Yule mwehu wetu ulimsikia leo". Wanakupigia makofi lakini kura wanakunyima

TAARIFA ZA MIKOA MINGINE:
- LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

- LGE2024 - Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video

- LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

IDADI YA WATU WALIOJIANDIKISHA
- LGE2024 - News Alert: - Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Mahakama yaipa Ruhusa TAMISEMI kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Picha la kihindi linaanza
 
Nimepitia vituo mbalimbali vya kupigia kura wakata ya Kinondoni, sio uswahilini, vituo havina wapiga kura kabisa. Jioni tutasikia idadi kubwa wamejitokeza na Samia kapata ushindi wa kishindo
 
Wewe umepiga? Suluhisho la kutopiga kura ni nini? Natumaini ingekua ni mgao wa jezi za mpira watu wangekanyagana!! Akili ya mtu mweusi ni laana tupu!
 
Back
Top Bottom