LGE2024 Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wapiga kura ni wachache tutarajie takwimu za kupika kutoka kwa mpishi mkuu Mchengerwa.
 
Wewe umepiga? Suluhisho la kutopiga kura ni nini? Natumaini ingekua ni mgao wa jezi za mpira watu wangekanyagana!! Akili ya mtu mweusi ni laana tupu!
Siwezi kupoteza mda wangu kupiga kura katika uchaguzi unaendeshwa na kusimamiwa na wahuni
 
Naskia kawe kimenuka, Watu wamefumania kura zikiwa zimepigwa tayari
 
Sina takwimu sahihi ila mitaa ya bunju wagombea wengi hawana upinzani, kituo niluchopiga kura mgombea pekee ni wa ccm na mitaa mitatu ninayoifahamu wagombea hawana upinzani.
 
Hiyo jf yenyewe ni kutokana na sera safi za ccm
Hukumbuki jinsi serikali ya CCM ilivyomsumbua mwanzilishi wa JF ili aonyeshe identity ya washiriki wake? Hadi kushtakiwa kwa mwanzilishi kwa kupewa kesi feki? Acha kuongea vitu visivyopo
 

Your browser is not able to display this video.
 



Your browser is not able to display this video.

Kama kawaida yao mtu mmoja kapiga kura za watu wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…