Pre GE2025 Dar es Salaam: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Pre GE2025 Dar es Salaam: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa PWANI. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.


1729435696317.jpeg

Ramani ya Jiji la Dar es Salaam

HISTORIA YA JIJI LA DAR ES SALAAM
Jiji la Dar es Salaam lilianza kama kijiji kidogo cha wavuvi kilichojulikana kama Mzizima. Kijiji hiki kilianzishwa na Wabalawa ambao walichanganyika na Wazaramo kuelekea kwenye maeneo ya Bara la Afrika Mashariki na ambazo zilijulikana kama ‘Caravan Routes’. Ujenzi wa makao ya Sultani pamoja na bandari ulianza rasmi mwaka 1865 katika eneo la kijiji cha Mzizima. Ujenzi huo ulikamilika mwaka 1866 na Sultani Majid bin Said kuhamia Dar es Salaam mwaka huo.

Matukio yaliyojili kwenye uchaguzi wa serikalo za kitaa 2024 angalia hapa LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

HALI YA KISIASA
Mkoa wa Dar es Salaam una majimbo 10 ambayo yote Wabunge wake wote wanatokea Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa mujibu wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

MAJIMBO YA JIJI LA DAR ES SALAAM
  • Jimbo la Kinondoni
  • Jimbo la Kawe

  • Jimbo la Ilala

  • Jimbo la Segerea

  • Jimbo la Ukonga

  • Jimbo la Temeke

  • Jimbo la Mbagala

  • Jimbo la Kigamboni

  • Jimbo la Ubungo

  • Jimbo la Kibamba


UPDATES

JANUARI
  1. Kitila Mkumbo: Nimejipanga vilivyo kugombea Ubunge 2025, msije kudharau nyoka mdogo sumu ni ile ile!
  2. Serikali yawahakikishia wananchi Uchaguzi Huru na wa Haki 2025
  3. Waziri Ulega akagua matengenezo ya barabara ya Samora usiku
  4. Dkt. Slaa akamatwa usiku huu nyumbani kwake Mbweni
  5. Jimbo la Ilala mnamtaka Haji Manara awe mbunge wenu? Kuna ujumbe wenu hapa
  6. Tamko zito la vijana CCM wa vyuo vikuu waunga mkono Rais Samia na Dkt.Mwinyi kugombea urais 2025
  7. Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni
  8. Dkt. Slaa afikishwa mahakamani Kisutu kwa Shtaka la kusambaza taarifa za Uongo
  9. Mbowe: Kipindi cha Magufuli biashara zangu ziliharibika nikaomba likizo kutoka Chadema ili niweke mambo yangu sawa wenzangu wakanikatalia
  10. Katiba ya CHADEMA inaruhusu hizi kampeni zinazofanyika hapa nje kwenye ukumbi wa Mllimani City?
  11. Wassira: Hatukuahidi kuachia madaraka baada ya muda tulipopata uhuru. Hatutumii jeshi kubaki madarakani, tunachaguliwa
  12. Wasira: Wanaosema tumekaa miaka 60 hakuna tulichofanya tuwasamehe hawajui wanachosema
  13. Lissu: Mbowe alivyotoka gerezani alibadilika, akasema hawezi kutuambia kila kitu alichozungumza na Rais
  14. Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari
  15. Wabunge viti Maalum waliohudumu kwa miaka 10 wapishe wengine kuchochea mabadiliko chanya, wasiwe ving'ang'a
  16. Kamanda Muliro: Tumejipanga kuimarisha ulinzi Uchaguzi wa CHADEMA. Sisi sio wageni hapa Mlimani City, wanaoshangaa ndio wageni
  17. Pre GE2025 - Makamu Mwenyekiti wa Wamachinga Tanzania: Wafanyabiashara wadogo tuko pamoja na Samia 2025. Tuko tayari kwa lolote
  18. Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
  19. Mbowe: Kipindi cha Magufuli biashara zangu ziliharibika nikaomba likizo kutoka Chadema ili niweke mambo yangu sawa wenzangu wakanikatalia
  20. Mbowe: Magufuli aliniambia niachane na CHADEMA, na atanirudishia kila kitu changu kilichopotea au cheo chochote
  21. Mbowe: CHADEMA ni kubwa kuliko mtu yeyote
  22. Lema: Wajumbe mkipewa pesa au chakula chukueni kwenye kupiga kura wachinjeni. Mchagueni Heche kwenye Umakamu Uenyekiti
  23. Lema: Ukiona mtu anataka kununua uongozi ambao hauna mshahara jua kuna mshahara analipwa kwaajili ya uongozi huo
  24. Mbowe atoa neno baada ya matokeo, awaagiza wateule kufanya upatanisho
  25. Mbowe: Lissu kusema hajui nilichozungumza na Rais ni Umbea
  26. Lema: Sitagombania ubunge Arusha mjini
  27. Mbowe: Kuna kitu nataka nikisukume, wanaotamani nipumzike huruma inatoka wapi?
  28. Wasanii wakata Keki ya birthday ya Rais Samia na kutoa zawadi ya Mitungi Soko la Feri! Wakitoka hapo wanapitisha kikombe!
  29. Mpaka yanatumika magari kutangaza birthday ya Rais Samia lakini bado kiki imebuma. Safari hii watanzania wamenuna kwelikweli!
  30. Video: Lissu amchabanga mwandishi wa Clouds, 'unaonekana hufuatilii kabisa maneno ninayozungumza na Media'
  31. Nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar kurudiwa baada ya kutokuwa na mgombea aliyefikisha zaidi ya 50%
  32. Lissu aongea baada ya ushindi CHADEMA, asema Mbowe aliahidi uchaguzi wa huru na haki na ametenda
  33. Mwenyekiti Uchaguzi CHADEMA: Wajumbe wasiruhusiwe kuwa na simu wakipiga kura, kura ikiwa na alama isihesabiwe
  34. Hilda ahoji mapenzi ya Polisi kwa CHADEMA yanatoka wapi wakati wakiwa kwenye mikutano yao au maandamano huwapiga virungu?
  35. Mwamakula: Wajumbe wameambiwa kuipiga picha au kuweke alama karatasi ya kura kama ushahidi wa kuongezewa pesa baadaye
  36. Cyprian Musiba: Polepole, Bashiru warudishwe kupambana na CHADEMA ya Lissu
  37. Musiba: Kuna watu CCM hawajakubali Rais Samia kugombea Kiti cha Urais 2025
  38. Aliyetuhumiwa kupanga kumfukuza John Mrema CHADEMA akanusha
  39. VIDEO: Godbless Lema afichua mbinu alizotumia kumuombea Lissu Kura za Uenyekiti CHADEMA Taifa
  40. Tundu Lissu amteua Lema kuwa wakala wake uchaguzi CHADEMA
  41. Tundu Lissu afunguka kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu, asema siyo ya Dkt. Slaa, wala Mgombea Urais, wala mtu kutoka CCM
  42. Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia uchaguzi kwa maandamano
  43. Musiba: Kuna watu CCM hawajakubali Rais Samia kugombea Kiti cha Urais 2025
  44. Mnyika ampongeza Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
  45. Odero amesema ile kura moja aliyoipata ni ya mpiga kura, hata yeye hakujipigia Kura Uchaguzi CHADEMA
  46. Cyprian Musiba: Polepole, Bashiru warudishwe kupambana na CHADEMA ya Lissu
  47. Baadhi ya wanachuo wapinga hoja ya Tundu Lissu, ya "No Reform No Election", wasema sio kisemeo cha Taifa
  48. Musiba: CCM walikusanya wasanii Dodoma bila faida na CHADEMA haikuzimwa
  49. Rais Samia amzawadia TSh Milioni 5 aliyewaokoa Watumishi wa TRA waliovamiwa Tegeta
  50. Wizara ya Habari na Michezo pamoja na BASATA kuja na Tamasha la Kadansee la Mama Samia!
  51. Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari
  52. Wakili Madeleka: Kisutu kuna danadana za kumnyima haki ya dhamana Dkt. Slaa tumeenda Mahakama Kuu
  53. Watangazaji Crown FM wageuza kauli ya "Mitano Tena" pambio kwenye kipindi, kweli wataweza kukemea uovu hawa?
  54. Spika Tulia Ackson: Natamani kumuona Manara bungeni. Naibu Spika akistaafu siasa nitamshauri Manara akagombee
  55. Heche amchana RC Chalamila, kisa kauli ya mjamzito anayegoma kununua gloves, adai wamejisahu kwasababu ya shibe ya kijinga
  56. Hashim Rungwe wa CHAUMMA: Sifanyi mkutano wa hadhara chama changu hakina fedha
  57. Hashim Rungwe: Kama wanajeshi wanapata chakula, wanafunzi wapewe pia
  58. Mahakama Kuu yaagiza dhamana ya Dkt. Slaa ishughulikiwe haraka
  59. Lissu: Dkt. Slaa ni tishio kiasi gani kama sio ukandamizaji, tunahitaji kutengeneza nchi mpya kukomesha uonevu
  60. PICHA: Tundu Lissu aongezeka jopo la Mawakili kumtetea Dkt. Slaa Kisutu, kesi ya kusambaza taarifa za uongo
  61. LHRC: Mamlaka itoe haki ya dhamana kwa Dkt. Slaa, ni haki yake
  62. Oscar Oscar: Tunao muda wakupata Sheria mpya za Uchaguzi kabla ya Oktoba, upelekwe mswada wa dharula
  63. Kamba: CHADEMA inapandikiza chuki kwa vijana na wazee kwa maslai yao binafsi
  64. Tundu Lissu afunguka kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu, asema siyo ya Dkt. Slaa, wala Mgombea Urais, wala mtu kutoka CCM
FEBRUARI
  1. Diwani wa kata ya Zingiziwa: Nipo tayari kukosa udiwani kuliko kushuhudia Jerry Silaa anakosa Ubunge katika uchaguzi ujao
  2. CUF wamtaka Prof. Ibrahim Lipumba aachie ngazi akafanye majukumu mengine nje na siasa, wanadai anaua chama yeye na genge lake
  3. Msajili wa Vyama vya Siasa alalamikiwa kusimamia uchaguzi feki wa TLP
  4. Tanzania Labour Party (TLP) kimeumana; uongozi mpya kuburuzwa Mahakamani
  5. Wakili Mwanaisha Mndeme atangaza kugombea Ubunge jimbo la Kigamboni kupitia ACT Wazalendo. Ataweza kumrithi Ndugulile?
  6. UVCCM - Temeke yawakumbuka wenye uhitaji kuadhimisha miaka 48 ya CCM
  7. Lissu: Uchaguzi mkuu 2020 CCM walipewa kura feki zaidi ya milioni 2, CHADEMA 100k+
  8. Baada ya kumuweka kwenye bango la comedy Rais Samia awekwa kwenye bango la Valentine's. Chawa wanampoza baada ya kuumudhi
  9. Picha; Haya mashindano yaliyopewa jina la Samia Cup, Rais anayafahamu kweli? Tukisema CCM wameanza kampeni huwa mnakataa nini?
  10. Steve Nyerere akusanya wasanii na viongozi wa dini kugawa mitungi bure kwa wakina mama ili "kuunga mkono juhudi" za Samia
  11. Wasanii wa Injili wakiongozwa na Mwamposa wajipanga kukutana Mlimani City kumuombea Rais Samia!
  12. Makamu Mwenyekiti BAVICHA: Chalamila mimi sio saizi lakini lazima nikujibu
  13. Mchungaji Clear Malissa atangaza kufanya maombi Uwanja wa Uhuru kwa vyama vya CHADEMA, CCM na ACT kuelekea Uchaguzi Mkuu
  14. Lissu: Tutazuia uchaguzi kwa njia mbalimbali ikiwemo maandamano kama hakutokuwa na mabadiliko
  15. Lissu awashangaa wanaohoji ushiriki wa viongozi wa dini kwenye siasa, ameeleza kuwa sekta ya dini ina mchango mkubwa kwenye siasa
  16. Lissu ahoji Rais anapata wapi pesa za kugawa kwa viongozi wa dini? kwa mshahara gani?
  17. Lissu amesema kuwa yeyote mwenye macho ya kuona anajua kuwa chaguzi za nchi hii zimekuwa za hovyo
  18. Nabii Edmund Mystic: Watanzania epukeni mashinikizo yoyote yanayoweza kuhatarisha usalama wa nchi kuelekea uchaguzi mkuu 2025
  19. Rais Samia ameahidi kujenga Msikiti wa Kisasa Vigwaza/Migude wenye hadhi ya Rais. Sheikh Walid ampigia debe urais 2025
  20. NCCR Mageuzi wasema hawapo tayari kuunganisha nguvu na chama chochote cha upinzani
  21. DAWASA: Usambazaji wa maji Kinondoni wafikia 97%, Je, ulipo bado kuna shida ya maji?
  22. Wasanii wa Bongo movie waliokuwa CHADEMA wahamia CCM
  23. Wassira aihakikishia Marekani uchaguzi kuwa huru na haki
  24. Tundu Lissu: Ilituweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa kura
  25. Tundu Lissu: Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama, msiniulize nimekuta nini, jibu halitakuwa zuri!
  26. CCM kutangaza utaratibu mpya ubunge viti maalum. Hoja za Lissu zimeanza kuwaingia?
  27. ADC yajipanga kuwang’oa madarakani CCM, waeleza kuhusu 'No Reform, No Election' ya Chadema
  28. ACT Wazalendo yajipanga kushirikiana na Vyama vingine na Taasisi kupigania Uchaguzi Huru na Haki
  29. Ester Bulaya: Hakuna chama chenye ukomo kwa nafasi ya Mwenyekiti
  30. Bulaya: Sikughushi nyaraka za kuingia bungeni na nilifuata taratibu zote ndani ya chama
  31. Bulaya asema CHADEMA inapopambania reform za uchaguzi siyo kwa ajili ya CHADEMA tu
  32. Esther Bulaya asema anaunga mkono kauli ya chama chake ya "No reform no election"
  33. Ester Bulaya: Mimi sio CCM ni CHADEMA. Utaratibu wa kutupeleka bungeni ulifuatwa hakuna aliyefoji
  34. Bananga (Katibu wa siasa na uenezi CCM, DSM) asema No reform No election ni kauli ya kiwendawazimu
  35. Lissu: Lembrus Mchome anachokifanya ni kutupotezea muda. Hakufika kikaoni, idadi ameijuaje?
  36. ACT Wazalendo: CCM siyo chama cha siasa tena. Zamani ilikuwa inatumia dola ili kuiba uchaguzi, sasa Dola inaitumia CCM kuiba uchaguzi
  37. Ally Bananga Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Dar amkingia kifua Wassira kusinzia kwenye vikao "Hakuna dhambi mtu kusinzia
  38. Katibu Mkuu ACT Wazalendo, Ado Shaibu: Rais Samia ajitathimini
  39. Viongozi wa CCM Kinondoni yatoa mafunzo kwa viongozi 1200 kuelekea Uchaguzi Mkuu. Kuna nini nyuma na haya mafunzo?
  40. Chama cha NLD champongeza Rais Samia kuteuliwa kuwa mgombea Urais CCM. Viongozi waipinga "No Reform No Election" ya CHADEMA
  41. Tundu Lissu aendelea kusisitiza Wagombea CHADEMA, Unataka Ubunge ili iwaje? Watu wetu wanauawa kwa Risasi za Polisi!
  42. John Heche: Walimu walipwe vizuri, wasipewe vitenge vya 'Mama' bure, haya ni matusi kwa Walimu kuvaa mabango
  43. Makalla: Maamuzi yamefanywa na Mkutano Mkuu hata mi naogopa, Malisa kaondolewa kwa utovu wa nidhamu
  44. John Heche: Tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki. Tutawashirikisha Viongozi wa dini, mashirika ya kimataifa, balozi na NGO's
  45. CHADEMA yadai kuzuiwa kufanya Mkutano katika kumbi za Hoteli ya Sea Cliff, uliopangwa kufanyika leo, Februari 27, 2025 Dar
  46. Dkt. Slaa: Niko tayari kurudi CHADEMA
  47. Katibu wa UVCM Dar awaonya vijana wa CCM kuhusu kujigawa kimakundi wanapoelekea kwenye Uchaguzi
  48. Godbless Lema: Mkakati wa Tone Tone ni mpango wa kuchangia fedha kwa chama kwa kutumia mifumo ya kidigitali
  49. Heche asema CHADEMA wana mpango wa kujenga chuo cha siasa
  50. Dr Slaa: Kilichonitoa CHADEMA 2015 sasa hakipo
  51. RC Chalamila: Simameni imara kumwombea Rais wetu, huwa inaniuma sana viongozi wa dini kusemana
  52. Sophia Simba: Wanawake waliokaa muda mrefu kwenye Viti Maalum waachie nafasi kwa vijana
  53. Heche: Wapo wana CCM wanaounga mkono 'no reforms no election'
  54. Kada wa CCM Sophia Simba: Enzi zetu hakukuwa na uchawa. Watu walikuwa wanapata vyeo kwa uwezo wao
MACHI
  1. Tundu Lissu: Hatutasusia Uchaguzi, tutazuia uchaguzi kwa nguvu ya Umma, sio bila mabadiliko hatutashiriki uchaguzi
  2. Lissu: Tutazunguka nchi nzima kuwaambia Watanzania wasishiriki chaguzi za kutoana Kafara
  3. Lissu: Mabadiliko yakikubaliwa, Uchaguzi utaahirishwa na Bunge litarudishwa hata kama lilivunjwa
  4. Tundu Lissu: Kuwe na Tume ya Uchaguzi inayoshitakiwa ikikosea kwenye uchaguzi
  5. Tundu Lissu: Vyombo vya Habari havitendi haki kwa Vyama vya upinzani, vyote vinakuwa vya CCM
  6. Mshindi wa Pilau la 'Mama Samia' Kigamboni apewa zawadi ya Mtungi wa Gesi na Kiwanja
  7. Tunataka uchunguzi haraka kutekwa kwa raia wawili Kigoma na Dar es salaam na uzembe wa jeshi la polisi
  8. Chadema yapigilia msumari masharti ya kushiriki kwao, wakisisitiza 'No reform, no election'
  9. CHADEMA yakusanya zaidi ya Milioni 64 kupitia kampeni ya Tone Tone
  10. Wabunge wa Dar es Salaam wahamasisha uwekezaji mkoani kwao baada ya kujionea maendeleo Pwani
  11. Rais Samia awafuturisha watoto yatima, wenye mahitaji maalumu Ikulu
  12. Odero: Leo hii Mbunge akisimama kuzungumza Bungeni jambo la kwanza ni kumshukuru Rais kwa kuleta Fedha, Fedha za umma zimegeuka Mali za Rais
  13. Jerry Muro: Wajumbe wanatanguliza pesa mbele kuliko maono
  14. Wakili Deogratius Mahinyila: Polisi ituambie nani anayeteka vijana wa CHADEMA na wenye maoni tofauti na serikali
  15. Mwenyekiti BAVICHA, Mahinyila: Vijana wanaoikosoa Serikali hawataisha, watu wanaokupinga huwezi kuwamaliza
  16. Makalla: Lissu na wenzake hawana ubavu wa kuzuia uchaguzi
  17. No refom No election inawapelekesha sana CCM, Makalla anadai CHADEMA imeanza kushindwa kabla ya uchaguzi mkuu
  18. Makalla: Uchaguzi Mkuu utafanyika kama ilivyopangwa, hakuna wa kuuzuia
  19. Amos Makalla: Achaneni na Propaganda za "No reform", Uchaguzi upo, msidanganyike
  20. Makalla: Wakurugenzi hawatasimamia Uchaguzi, ahoji hofu ya CHADEMA kuhusu Uchaguzi licha ya marekebisho ya mfumo
  21. Ndolezi Petro: Viongozi wasiochaguliwa na Umma hawawajibiki ipasavyo
  22. Dkt. Slaa: Makosa yanayofanywa na serikali yanatupa nafasi ya kujulikana dunia nzima
  23. Profesa Lipumba anadai hakutaka kuendelea na Uenyekiti baada ya miaka 25 ila wanachama walimlazimisha
  24. Dar es Salaam kuandikisha Wapiga Kura wapya 643,420 katika Uboreshaji wa Daftari
  25. Tume ya Uchaguzi: Waliohukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi sita jela, kuondolewa kwenye daftari la Wapiga Kura
  26. ACT Wazalendo: Kuna Wakuu wa Mikoa wanaingilia michakato ya uwandikishaji wa wapiga kura wapya kwa kigezo cha kulinda amani
  27. Waziri Ulega aonya wakandarasi wazembe, aagiza hatua kali kuchukuliwa kwa wanaosababisha ucheleweshwaji wa miradi ya Mwendokasi
  28. Makalla: Profesa Kitila Mkumbo ni hazina kubwa kwa Chama na Taifa
  29. Serikali kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya kwa Trilioni 1.2
  30. Ado Shaibu: ACT Wazalendo tumejipa muda kutafakari kama tutashiriki au hatutoshiriki uchaguzi Mkuu 2025
  31. Makalla: Wafungwa chini ya miezi sita (6) watapiga kura Uchaguzi Mkuu
  32. Amos Makalla: Lissu na wenzako (CHADEMA) nendeni mkafanye reforms zenu, CCM imeshafanya reforms za kutosha
 

Attachments

Back
Top Bottom