Dar Es Salaam, Ni Rahaa kweli kweli

Dar Es Salaam, Ni Rahaa kweli kweli

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
35,771
Reaction score
4,065
ajalisalama%5B1%5D.jpg
 
Hapa ni Kigoma mwisho wa Reli. Shule hiyo,

ya+bwatta.jpg
 
kitu kimekamata ile mbaya katika barabara ya Bagamoyo Rodi mchana
 
Kijana anayesadikiwa kuwa ni kibaka wa simu, akijaribu kuzuia sikio lake la kushoto ili yasikatwe kwa panga
 
Askari wa jiji sijui ndio ajira mpya kwao???
 
Chama Cha Mapinduzi-Magomeni Kagera.
 
Bob Marley bado anaishi tu, Hapa ni Bibi Titi (uwt)
DSC01623.JPG
 
Ng'ombe wakiwa wakibalizi upepo mwanana kabisa katika fukwe ya bichi ya Kawe
 
Hapa ni Kigoma mwisho wa Reli. Shule hiyo,

ya+bwatta.jpg

Duh!! Machozi yananilenga lenga.
Shule!! Halafu gavana wa BoT anajengewa nyumba ya bei gani vile??
Hata wazazi wangu waliosoma shule ya msingi 1930s hawakuwahi soma shule ya aina hii.
SHAME!!
 
hahaha!
karibu nyumbani mkuu maxshimba!THIS IS HOW WE DO
 
jamanai thanx Maxshimba kweli DSM ni raha hiyo picha ya kwanza imeniacha hoi
 
Back
Top Bottom