Dar es Salaam patengenezwe sehemu ya kupiga mbizi

Dar es Salaam patengenezwe sehemu ya kupiga mbizi

julaibibi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
3,081
Reaction score
4,224
Nimeona wale vijana wa makachu wamekuja Coco beach.

Wazo langu naishauri wilaya ya ilala pale pangeboreshwa pakawekwa ngazi na retaining wall na pakasafishwa .

Pakiwa promoted ufalme wa Zanzibar utahamia Dar pale patakua kama Forodhani.

Afisa utalii changamkia fursa hii
 
Back
Top Bottom