Nimeona wale vijana wa makachu wamekuja Coco beach.
Wazo langu naishauri wilaya ya ilala pale pangeboreshwa pakawekwa ngazi na retaining wall na pakasafishwa .
Pakiwa promoted ufalme wa Zanzibar utahamia Dar pale patakua kama Forodhani.
Afisa utalii changamkia fursa hii