MWAKA 1999 SAFARI KUTOKA KILWA DSM KIGOMA ZAMBIA HADI SOUTH AFRICA
Kilwa mpaka DSM kwa usafiri wa basi halafu Reli ya Kati urefu kilometa 1200 Dsm Kigoma, lake Tanganyika , MV Mwongozo, Tanzania DR Congo, Burundi na Zambia nchi hizi zina fukwe za ziwa Tanganyika pia mipaka yake ipo ndani ya ziwa hilo.
Zambia, Zimbabwe hadi miji ya Pretoria na Cape Town iliyopo Afrika ya Kusini.
Source: Neil Shaw