Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Mcha Hassan Mcha akipokea tuzo ya mshindi wa jumla kwenye uandaaji wa hesabu za kifedha zinazozingatia viwango vya kimataifa vya Uhasibu katika Sekta ya Umma (IPSAS) na Sekta za Kibiashara (IFRS) kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Serikali, CPA. Benjamin Mashauri. Tuzo hizo zimetolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) usiku wa Tarehe 29/11/2024 APC Bunju jijini Dar es Salaam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.