Tetesi: Dar es Salaam: Tundu lissu kukutana na mh zitto kabwe kwa mazungumzo muhimu kuelekea oct 25.

Tetesi: Dar es Salaam: Tundu lissu kukutana na mh zitto kabwe kwa mazungumzo muhimu kuelekea oct 25.

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
3,474
Reaction score
3,744
Wasalaam.

Zimenifikia habari za uhakika kwamba kuna viongonzi wa dini wamefanikisha kuwakutanisha wawili hao kwa mazungumzo muhimu kuelekea uchaguzi mkuu mwenzi Oct kama utakuwepo na kauli mbiu ya chadema 'no reform no election'. Inaelezwa baada ya jitihada kubwa hatimae viongozi hao wamefanikiwa kuwakutanisha.

Wataamua na kukubaliana mambo gani haijamika bado mpaka mazungumzo hayo yatapofanyika.

Mungu ibariki Tanganyika.
 
Siasa hazina urafiki Wala uadui wa kudumu. Lakini Ina maslahi ya kudumu.

Sidhani kama siasa za Lissu zina maslahi kwa Zitto hivi Sasa ndani ya ACT-Wazalendo.
 
EU na UK Aid kwa nyundo pembeni...Bedui Trampuu kazamisha meli
 
Mmh! Hata kama ule msemo hamna adui wa kudumu, ila hapo kapuyanga
 
Back
Top Bottom