greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
- Thread starter
-
- #21
Bahati nzuri au Mbaya nchi yetu haina sera ya kuuza visiwa ila inakodisha...
Asante saaana kwa ufafanuzi mzuri. Kisiwa ni kizuri saana. Serikali inabidi ibadili sera ziwe za kimkakati. Dar es Salaam ni jiji, hivyo visiwa vyote 8 watupe wawekezaji tufanye bihashara. Maswala ya uhifadhi sijui na mambo mengine yafanyike huko Lindi Mtwara Mafai basi.Bahati nzuri au Mbaya nchi yetu haina sera ya kuuza visiwa ila inakodisha...
Ila kwa visiwa vyote 8 vya mkoa wa Dar,hayo ni maeneo tengevu ya hifadhi ya bahari.Hairuhusiwi kuweka makazi na hata watu kulala.
La kwanza ni lipi? Dar ndiyo jiji kubwa kuliko yote EAJiji la pili kwa ukubwa Afrika Mashariki.
Duuh hii hatari.Mbona hujapaongelea mwananyamala kwa Choma, dela muda wote lipo katikati ya kalio
Yeah...50000 kwa mtu mmoja au kwa couple?
Kwa Wilaya ya Kigamboni Kisiwa kimoja tu wameruhusu watu kutembelea,kingine kinatumika na mamlaka ya bandari ...viwili ni visiwa vya masaa,maji yakijaa havionekani....Asante saaana kwa ufafanuzi mzuri. Kisiwa ni kizuri saana. Serikali inabidi ibadili sera ziwe za kimkakati. Dar es Salaam ni jiji, hivyo visiwa vyote 8 watupe wawekezaji tufanye bihashara. Maswala ya uhifadhi sijui na mambo mengine yafanyike huko Lindi Mtwara Mafai basi.
Ila hata nasi tumekuwa wazito...Asante saaana kwa ufafanuzi mzuri. Kisiwa ni kizuri saana. Serikali inabidi ibadili sera ziwe za kimkakati. Dar es Salaam ni jiji, hivyo visiwa vyote 8 watupe wawekezaji tufanye bihashara. Maswala ya uhifadhi sijui na mambo mengine yafanyike huko Lindi Mtwara Mafai basi.
Kama kuna sehemu nzuri ya kuvutia katika Wilaya ya Temeke,Kigamboni na Ubungo ni tumie message nitaifuatilia...Uzi mzuri
Mi nimeona fursa ya kuuza madafu mnaanza kunichafua.Ila hata nasi tumekuwa wazito...
Watu wameanza kuona umuhimu wa kuchangamkia fursa za bahari na Fukwe miaka ya karibuni....Now ndiyo migahawa kibao inajengwa Fukwe za Msasani na Kawe...
Na bado kuna fursa nyingi tu.
Hahaha Muuza madafu mwenye nyota 3Mi nimeona fursa ya kuuza madafu mnaanza kunichafua.