greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,764
- 3,230
- Thread starter
-
- #41
Kata za Wilaya za Ubungo,Temeke na Kigamboni zote ni salama kabisa ...(kata zaidi ya 20)Yani,ni unaishia kubeza tu,,,unashindwa jibu hoja....
Thibitisha kauli yako kwanza juu ya Mikocheni acha michambo....
Kwanza wale al ahly waliipata wapi ile picha?Tupia na ile ya uwanja wa taifa waliyoipost Al Ahly ikazua gumzo
Kila Jiji duniani lina sehemu mbaya na nzuri...Kwanza wale al ahly waliipata wapi ile picha?
Bado hujajibu walipotoa Ile pichaKila Jiji duniani lina sehemu mbaya na nzuri...
Sawa nawewe binadamu una mambo Mema lakini una ushenzi umeuficha watu wasiujue...