Wewe mjaluo na una goviwewe ni mmoja kati ya watu mnaosababisha watanzania wote tuonekane viazi.
Wewe mjaluo na una govi
Hamna mtanzania wa hivyo
MK254 kiukweli the only advantage ya Nairobi over Dar ni hizo flyover zenu fullstop ndio maana hata hiyo video uliyoweka hapo ni barabara na flyovers tu.
Good thing Dar imeanza kujengwa flyovers.
Just wait when the three-level traffic interchange ya ubungo ikikamilika sijui mtajificha wapi.....
Plus FYI BRT phase II na III construction is starting this year, the second suspension bridge (Selander bridge ishaanza kujengwa), TAZARA flyover, JNIA new terminal commissioning.........yaani in short Dar is now East Africa's megacity!
Just like i said......ni barabara na flyovers tu. Hapo kwa kweli mmetuacha. Lakini mambo mengine not so much.Nimewaambia mara nyingi Dar itachukua muda mrefu sana kufikia level ya Nairobi, yaani hapa nikianza kuorodhesha mambo yanayofanyika Nairobi nitapoteza muda mwingi sana. Nairobi sasa hivi ipo inan'gan'gana na miji mikubwa kama ya Afrika Kusini maana huko ndio ligi yake. Hapa EAC hatuna muda napo kabisa, nyie ndio mfuate nyayo zetu mje huko nyuma.
Nakuacha na mradi mmoja ambao tayari unafanyika na unategemewa kukamilika huu mwaka, cheki simulation yake hapa chini.... Halafu miji ingine ya Kenya inakuja kwa kasi, juzi nimeona presentation ya Mombasa, ambayo sasa ndio inaweza kupimana na Dar.
Asilimia 60 ya nyie wakenya wote mna magovi, kila mtu anajua hilo.Wewe unajifanya mtanzania hata Dar hiyo utakua hujafika ndio maana umekazania Nairobiumeonaje uume wangu? nilikua nakufanya nini mpaka ukapata experience ya uume wangu kuwa una govi??
wewe ni mmoja kati ya watu mnaosababisha watanzania wote tuonekane viazi.
Usibishane na huyo ni Mkenya anajifanya mtanzaniaNo offense mkuu...watu wengi wa Rombo hupenda kusifia Nairobi.Sina uhakika kama kutokana na ukaribu, au kwa sababu ndio sehem pekee baadhi yao huenda na kulinganisha na wanapotoka na kisha kuja na conlusion kutokana na mlinganisho huo.Ndio nikakuuliza toka awali kwamba wewe ni mwenyeji wa Rombo? Ushawahi kufika Dar?
ingawa hujanijibu swali la msingi.
Asilimia 60 ya nyie wakenya wote mna magovi, kila mtu anajua hilo.Wewe unajifanya mtanzania hata Dar hiyo utakua hujafika ndio maana umekazania Nairobi
Just like i said......ni barabara na flyovers tu. Hapo kwa kweli mmetuacha. Lakini mambo mengine not so much.
Alafu ebu ututake radhi utalinganishaje Dar na Monbasa??
Acha maneno waka muziki
Nairobi beats Dar on almost everything, hamna cha ushindani hapo na ni kupoteza muda kwa Dar kujitututumua na kujilinganisha na Nairobi.
Tatizo umekwamia hapo vitongoji vya Dar, hutaki kutoka hivyo inakua vigumu kubishana nawe kwa hoja lakini pia unafaa unasoma soma makala kama haya hapa What makes Nairobi Africa's 'most intelligent' city - CNN.com
Ili kujifahamisha kabla hujahangaika kulinganisha.
Hahhaa...kwa taarifa yako nimekaa Nairobi miaka minne sehemu moja inaitwa Hurlingham kwa hiyo najua mazuri ya Dar na mazuri ya Nai.Nairobi beats Dar on almost everything, hamna cha ushindani hapo na ni kupoteza muda kwa Dar kujitututumua na kujilinganisha na Nairobi.
Tatizo umekwamia hapo vitongoji vya Dar, hutaki kutoka hivyo inakua vigumu kubishana nawe kwa hoja lakini pia unafaa unasoma soma makala kama haya hapa What makes Nairobi Africa's 'most intelligent' city - CNN.com
Ili kujifahamisha kabla hujahangaika kulinganisha.
mchambuzi unazeeka vibaya mkuu,nadhani ule ukongwe wako hapa jf umekudumaza akili.wewe ni mmoja kati ya watu wanaosababisha watanzania wote tuonekane viazi.
Ujinga na udhaifu wa ***** usiulete huku.Pumba na kujipendekeza kwa Wakenya ni huko kwenu.
Usilinganishe Dar na utumbo wowote wa Afrika mashariki.
mchambuzi unazeeka vibaya mkuu,nadhani ule ukongwe wako hapa jf umekudumaza akili.
tazama hapa chini huyu dogo wa kikenya anavyo kutusi mkuu.
yupo sahihi, "koma kujipendekeza kwa wakenya".
hahahahaha...kakupa za uso mujarabu.
ligi ya watz vs wakenya mtuachie sisi magwiji ndio tunaoweza kuwamudu.
acha kujipedekeza kwa wakenya ndg.wenyewe hawataki mtz ajipendekeze kwao.ignore matusi yake jikite kwenye mada,
kati ya dar na nairobi wapi kumejengeka kimaendeleo zaidi?? Jibu ni Nairobi.
mnasababisha watanzania wote tunaonekana viazi.
kuwa mkweli kwa nafsi yako,acha kujipedekeza kwa wakenya ndg.wenyewe hawataki mtz ajipendekeze kwao.
naona unahamishia kwangu hasira zako za kutukwanwa na kudhalilishwa na yule dogo wa kikenya.aibu sana kujipendekeza kwa mtu halafu anakupa za uso....kuwa mkweli kwa nafsi yako,
kati ya Nairobi na Dar ni wapi kulikojengeka kwa maendeleo zaidi??
wewe ni mmoja kati ya watu wanaosababisha watanzania wote tuonekane viazi kama wewe.
Wewe ni mkenya!!kuwa mkweli kwa nafsi yako,
kati ya Nairobi na Dar ni wapi kulikojengeka kwa maendeleo zaidi??
wewe ni mmoja kati ya watu wanaosababisha watanzania wote tuonekane viazi kama wewe.