nairobi after a 15 minutes rainfall.jiji la matope.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nairobi aka kidongo chekundu....lile jiji ukitaka ulichukie inyeshe mvua,matope yenye rangi inayokaribia na wekundu inasababisha mpaka barabara ya lami inabadilika na kuwa na rangi isiyopendeza machoni.
kuna mkenya mmoja swahiba wangu aliwahi niambia,geographically Nairobi ilitakiwa iwe eneo tengefu la wafugaji wa jamii ya kimasai.haikupaswa kuwa jiji kuu la kenya.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Look at this guy...ati dar[emoji23] [emoji23] unathani nairobi itakuwa imelala by 2030.Alafu ndoto za 2030 bana[emoji35] Remember Kenyas vision 2030 is already underway soo nyinyi endeleeni kuogaHahhaa...kwa taarifa yako nimekaa Nairobi miaka minne sehemu moja inaitwa Hurlingham kwa hiyo najua mazuri ya Dar na mazuri ya Nai.
Najivunia majiji haya mawili.....ni fahari kwangu kama mwana Afrika Mashariki.
Jua kwamba by 2030 Africa will only have six cities that have attained megacity status by global standards: Kinshasa, Luanda, Johannesburg, Dar es Salaam, Lagos and Cairo.
Also, no African city will surpass Dar in terms of lifting people out of poverty.....Dar itaongoza in minting millionaires and middle incomers.
Ulikua waishi wapi ? Hahanairobi after a 15 minutes rainfall.jiji la matope.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Studies reveal, mtu mwenye govi huwa na uwezo mdogo wa kufikiria, hilo nimeliona na nikajiridhisha kwako mkuu!mkuu nilikua nakufanya nini mpaka ukapata experience ya uume wangu kuwa ni govi??
Honestly I respected this guy Daudi Mchambuzi , lakini nishaanza kujua sasa ni Mkenya aliyejipachika somewhere in Arusha akijifanya Mtanzania. Yaani anaonekana pumba kabisamchambuzi unazeeka vibaya mkuu,nadhani ule ukongwe wako hapa jf umekudumaza akili.
tazama hapa chini huyu dogo wa kikenya anavyo kutusi mkuu.
yupo sahihi, "koma kujipendekeza kwa wakenya".
hahahahaha...kakupa za uso mujarabu.
ligi ya watz vs wakenya mtuachie sisi magwiji ndio tunaoweza kuwamudu.
imagine that....
nairobi a muddy city....jiji la matope.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]IMAGINE LIVING SIDE BY SIDE WITH GARBAGE FROM YEARS BACK PAST. DAR ES SALAAM IS NOT MY CUP OF TEA.
View attachment 454714
mkono wa sweta[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Govinda depay
nairobians should have a special matope day...this is crazy and hilarious. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]