Dar es Salaam vs Nairobi Drone view

But upigaji picha unatofautiana sana kiwango cha kamera muhimu sana na maeneo ya kupigia picha pia muhimu sana
Ndio maana thread inaendelea Dar tumetupia videos nyingi tu. Lakini wenzetu wamekuja na utetezi wa barabara moja tu, ambao hauondoi view nzuri ya dar.
 
Kwa kuongezea hapo
Population ya Dar ni 4.5M
Nairobi 3.3M now
Hao Nairobi hamna kitu mji umeacha kukua ule , after 10 years tutacompare na Arusha

Hehhehe! Africa kicheko jameni, yaani kwako wewe kwamba mumebanana kwa jiji linalonuka ni sifa kubwa. Jiji lenyewe mvua ikinyesha kinyesi kinaelea mjini katikati.
 
Hehhehe! Africa kicheko jameni, yaani kwako wewe kwamba mumebanana kwa jiji linalonuka ni sifa kubwa. Jiji lenyewe mvua ikinyesha kinyesi kinaelea mjini katikati.

Jiji linakaa hivi
 
Ndio maana thread inaendelea Dar tumetupia videos nyingi tu. Lakini wenzetu wamekuja na utetezi wa barabara moja tu, ambao hauondoi view nzuri ya dar.

Jiji lenu ghorofa tatu tu kwingine extreme urban poverty. Who doesn't know slummy Dar.... Hata Bujumbura inaenda kuwashinda
 
Jiji lenu ghorofa tatu tu kwingine extreme urban poverty. Who doesn't know slummy Dar.... Hata Bujumbura inaenda kuwashinda
Nadhani hasira. Unaumia sana kuona dar inatesa. Najua unakubali kiaina.
 
Hehhehe! Africa kicheko jameni, yaani kwako wewe kwamba mumebanana kwa jiji linalonuka ni sifa kubwa. Jiji lenyewe mvua ikinyesha kinyesi kinaelea mjini katikati.
talking of jiji linalonuka....don't pretend like you know nothing about nairobi in stinking.....even residents of nairobi do stink..

nairobi jiji chafu[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
talking of jiji linalonuka....don't pretend like you nothing about nairobi in stinking.....even residents of nairobi do stink..

nairobi jiji chafu[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

NAIROBI DOESN'T BEAT DAR ES SALAAM IN PURE STINKY GARBAGE RODDENT RIDDEN STREETS. HATA HIYO WAJUA. DON'T BURY YOUR HEAD IN THE SAND. PLEASE WAKE UP AND SMELL THE COFFEE. TIHIHIHI

Hatari, halafu eti wamelundikana zaidi ya 4m humo. Halafu ukiuliza Watanzania wengi ambao wanaishi kwenye miji mingine kama Arusha hivi, hususan professionals, kila wakitumwa Dar kufanya shughuli kama ya wiki mbili, wao hutia bidii waifanye kwa wiki moja ili wageuze, they really deride the place. Yaani kutumwa Dar huwa kama ni adhabu ya kiaina, the moment you step out of the plane you feel like just going back inside and return.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…