Dar es Salaam vs Nairobi Drone view

Hahaaaa shukrani lakini mimi ni mwananchi kawaida wa nchi yangu yaani nimekua na kusomea sehemu tofauti za nchi yangu kuanzia primary hadi university na zote ni public....
I know my country well nd love it

Back to the topic
nairobi ipo vizuri yaani haihitaji chapuo maana hakuna data za miji bora ya Africa ikatoka na usiisikie lakini dar is also catching up very nicely au sio jirani...

Usinikumbushe enzi hizo mwanza hata mkate mzuri ulikuwa wa nairobi na hata ukitaka kwenda dar ni lazma upitie nairobi... everything good was from kenya lakini kwa sasa na sisi tunawapa homa kiasi maana real estate and other retail businesses zipo hot in Tz..yaani hata mwanza kuna mall na nyingine zaja!!!!!!!!!!!..........

yote kwa yote napenda ukanda wetu uendelee wote ili Africa na dunia zisitujue kupitia poverty, tourism, terrorism and olympics only!!!!!......
We still hav a really long journey to go but at least the next generation wont suffer this level of shame as we do...
 
Kila mmoja avute kwao kabisa mpaka ikatike
 

Na sisi tunaendelea na michakato kumaliza changamoto ya jiji leo lenye muonekano maridhawa wa chini kwa chini bila flyovers

Dar es salaam beautiful city
source: Hussein Muccadam
 
Dar is coming very fast......
 
Ojey amebwaga tu westlands ikalaza Dar, Sasa hivi barabara za vijijini vipi tena katikati ya jiji?
 
Na sisi tunaendelea na michakato kumaliza changamoto ya jiji leo lenye muonekano maridhawa wa chini kwa chini bila flyovers

Dar es salaam beautiful city
source: Hussein Muccadam
Hahahaha! Mmefanya vizuri! Dah! Huu mji sijui mtaufanya nini lakini hauna order yoyote!!
 
Video za nairob chaafu... camera gani iyo mazee.... kenyans bhaaana..... upumbavu wa kanyali huwez fanya tanzania.... utakufa.
 
Mambo ya dji phantom 4 pro. One of best drones available for professional user.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…