Dar feels the pinch of global financial crisis

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380

* source: Sunday observer
 
Halafu washauri wa uchumi wa muungwana walimwambia kuwa hatutaathirika na financial melt-down ya U.s.A. eti kwasababu hatukuweka nyingi ya akiba yetu ya fedha za kigeni katika mabenki ya Amerika na Ulaya!! Walisahau kuwa uchumi wetu unategemea hao jamaa kununua mazao yetu na pia utalii pia utaathirika!!! Ndio matatizo ya muungwana kutegemea rookie economists kumshauri na kuwaacha maprofesa wenye uzoefu wa kutukuka kama Prof. Delphine Rwegasira ambaye sasa amerudi toka IMF na anafundisha UDSM.Muungwana ajifunze kwa Obama anayewatumia wakongwe kama Paul Vocker!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…