KK,
Ahsante kwa taarifa hizi mkuu.. sikujua kwamba hili jiji limefika pabaya kiasi hiki! Duh?
Wanacheza uchi afu kwa malipo ya 100,000/=madafu!!!
Sijui ni umasikini au ndo kuchoka na maisha!!
Tukemee vikali matendo kama haya kama ambavyo tunaukemea UFISADI, Ushirikina n.k!