ILIKUWAJE? HEBU TUPE KISA KIDOGO
Status iliyobeba ujumbe wa kutishaKUKAMATWA KWA MTUHUMIWA ALIYEMCHOMA MOTO MPENZI WAKE NDANI YA NYUMBA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Grace Janes Mushi (25) kwa tuhuma za kumchoma moto ndani ya nyumba aliyekua mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Khamis Abdallah (25).
Tukio hilo limetokea tarehe 16.07.2021 majira ya saa nane na nusu usiku huko maeneo ya Mbezi Makabe kwa Mzungu Wilaya ya Ubungo.
Mtuhumiwa Grace majira hayo ya saa nane usiku aliamka na kumfungia mlango kwa nje Khamis Abdallah kisha kumwagia mafuta ya petroli nyumba hiyo, kitendo kilichopelekea Khamisi kuungua na kufariki dunia akiwa ndani.
Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa kimapenzi.
Imetolewa na :-
MULIRO J.MULIRO- ACP
KAMANDA WA POLISI,
KANDA MAALUM,
DAR ES SALAAM
Asili ya roho mbaya ni wanawake, kuanzia Kufanya mazungumzo na nyoka, ndo wakaleta vizazi vyenye roho mbayaAisee dunia ina watu wana roho mbaya sana...
Tujadili tukio na sio kabila lake.Wachagga kwenye ubora wao
Kwa huo moto,huo mwili sijui ulikuaje!poleni wafiwa.Eneo la tukioView attachment 1856568
KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA ALIYEMCHOMA MOTO MPENZI WAKE NDANI YA NYUMBA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Grace Janes Mushi (25) kwa tuhuma za kumchoma moto ndani ya nyumba aliyekua mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Khamis Abdallah (25)...
Huyu aliona gunia 2 za mkaa hazitoshi akaenda mbali zaidiKUKAMATWA KWA MTUHUMIWA ALIYEMCHOMA MOTO MPENZI WAKE NDANI YA NYUMBA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Grace Janes Mushi (25) kwa tuhuma za kumchoma moto ndani ya nyumba aliyekua mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Khamis Abdallah (25).
Tukio hilo limetokea tarehe 16.07.2021 majira ya saa nane na nusu usiku huko maeneo ya Mbezi Makabe kwa Mzungu Wilaya ya Ubungo.
Mtuhumiwa Grace majira hayo ya saa nane usiku aliamka na kumfungia mlango kwa nje Khamis Abdallah kisha kumwagia mafuta ya petroli nyumba hiyo, kitendo kilichopelekea Khamisi kuungua na kufariki dunia akiwa ndani.
Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa kimapenzi.
Imetolewa na :-
MULIRO J.MULIRO- ACP
KAMANDA WA POLISI,
KANDA MAALUM,
DAR ES SALAAM
Na wewe uache kutia wake za watu na madent wako (nadhani unaelewa) kwenye gari, soon ujiandae kuchomwa moto walai ujipange not very long jela au moto vitakuhusu. Mie mjumbe nimemalizaWachagga kwenye ubora wao
Kuna jamaa alimchoma mkewe kwa magunia mawili ya mkaa.
Tukiambiwa kisasi cha mwanamke ni funga kazi tuelewe.
A sane person will commit a crime huku ana plan ya kutojulikana just like anko wa magunia mawili but this lady? She just burnt the whole house with zero fvcks on getting caught.
Nimekupenda ghafla! Uendelee hivyo hivyo.Huruma niliyo nayo siwezi hata mchapa mtu kofi naanzaje kuwaza kuchoma moto?
Ukute aliona sms ya mchepuko akimsifia alivyo mtamuπππππ
I know, ukumbuke ukiandika hivyo kwenye usajili ni watu wawili tofauti, mfano; wengine huandika Margreth - Margrate, Matthew - Mathew, Mushi - Mushy, Emmanuel - Immanuel etc hayo majina ni tofauti MkuuGrace maana yake Neema. Wapo wanaoitwa Rose na mtaani anazoeleka kama Waridi.
Rehema?Grace ni Kiingereza
Neema ni Kiswahili.
Elimu Elimu Elimu.
Nimeshuhudia hili, jamaa yangu yamemkuta, mwanamke alitafuta visa waachane ikashindikana, akaanza kutembea na bodaboda, rafiki yangu akainua mikonoWanawake wa kichaga ukiamua kumuoa mmoja wao nawe si mchaga unahitaji kujipanga. Wanapenda kutafuta Mali, akiona huwezi kutafuta mnaweza achana, na Kama mnatafuta mkiwa vizuri, anaweza kukutafutia Visa ili mgawane au kukuua kabisa.
Huyo mwanamke anaonekana mkubwa zaidi ya 25 ameshusha number aonekane mdogoWote wana miaka 25, watoto, Hakuna wa kuongoza mwenzake, haya ndo matokeo!