Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa baada ya Wananchi wa Mtaa Sinza B, Wilaya ya Ubungo Dar Es Salaam kulalamika kadhia wanayoipata kwa kutokubandikwa kwa majina yao nje ya kituo cha kupiga kura cha Shule ya Sekondari Mashujaa tayari wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wameanza kubandika majina ya wapiga kura.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Jambo TV imefanya jitihada za kutaka kufahamu chanzo kilichosababisha kutokubandikwa kwa majina hayo hata hivyo jitihada hazikuzaa matunda.