Uchaguzi 2020 Dar: Helkopta ya Kampeni ya Tundu Lissu, yanyimwa kibali cha kutumia anga, ni baada ya kuomba kibali hapo jana

Ni wakati wa kipato kwa taifa lipeni huduma nchi ipate pesa ifanye maendeleo,
Pesa mmepata kutoka kwa beberu itoeni kwa serikari ifanye maendeleo.
 
 
kuna majitu yakishiba ya kituna nyuma yanafikiri nchi ya baba yao
 
Kwahiyo hawakuzuiwa? Sometimes msiwe wapuuzi kupita kiasi
Watazuiwaje bila sababu , taarifa ya chadema ni ya upande mmoja, ninachoamini ziko sababu walizopewa ambazo chadema hawakuziweka kwenye press release yao.
 
Mbovu
 
Chadema nyie! Mmeacha hoja ya wabunge n mdiwani waliokatwa,mmekuja na hoja ya kuzuiliwa elkopta eti?
 
Poleni sana.. Unaonaje ukaziweka sababu hizo unazosema hazieleweki ili tuzijue huenda zikawa zinaeleweka ila wewe ndio hujazielewa, hapa kuna wadau wabobezi wa hizo mambo wanaweza kuchanganua ili mjipange vizuri baadae ktk harakati zenu.. Alaf punguza malalamiko kua tayari kujifunza kila cku.
Asante

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo pia ni plan mzee..

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…