TUTUO JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 3,251 Reaction score 2,030 Feb 15, 2018 #21 Hv kwanini bado mnairefer Tanzania as Dar while mmeshaambiwa Capital ni Dodoma?
Niksta254 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2017 Posts 397 Reaction score 214 Feb 15, 2018 #22 Bitter pill said: Kama mnajua ni mshirika, CoW ilikuwa ya nini?ebu sema TZ itapoteza nn kutoka Kenya ikiwa tutawapuuza? Click to expand... akili hamna Monkey see Monkey Do
Bitter pill said: Kama mnajua ni mshirika, CoW ilikuwa ya nini?ebu sema TZ itapoteza nn kutoka Kenya ikiwa tutawapuuza? Click to expand... akili hamna Monkey see Monkey Do
TEMLO DA VINCA JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 3,079 Reaction score 3,367 Feb 15, 2018 #23 BlietzKrieg said: Mko desperate sana, Hii news peleka sections zenu. pambaneni na ldc wenzenu kila malawi. Click to expand... Roho inakuuma eehhh pole anko
BlietzKrieg said: Mko desperate sana, Hii news peleka sections zenu. pambaneni na ldc wenzenu kila malawi. Click to expand... Roho inakuuma eehhh pole anko
TEMLO DA VINCA JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 3,079 Reaction score 3,367 Feb 15, 2018 #24 BlietzKrieg said: Hawa watu kila positive news wao huleta hapa lakini zile mbaya hutaona wakicomment. jana wameua mwanasiasa wa chadema lakini wamenyamaza zii Click to expand... Upelelez unaendelea saa ulitaka tuongee nini
BlietzKrieg said: Hawa watu kila positive news wao huleta hapa lakini zile mbaya hutaona wakicomment. jana wameua mwanasiasa wa chadema lakini wamenyamaza zii Click to expand... Upelelez unaendelea saa ulitaka tuongee nini
TEMLO DA VINCA JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 3,079 Reaction score 3,367 Feb 15, 2018 #25 Niksta254 said: another white elephant hahahahaha PATHETIC TANZANIA Click to expand... Unadhan tz inafanya miradi yake ka kenya???idiots
Niksta254 said: another white elephant hahahahaha PATHETIC TANZANIA Click to expand... Unadhan tz inafanya miradi yake ka kenya???idiots
eliakeem JF-Expert Member Joined May 29, 2009 Posts 17,214 Reaction score 15,853 Feb 16, 2018 #26 Bravo Dar es Salaam bravo Blantyre bravo Dodoma bravo Lilongwe