Dar ina allergy na magari ya zamani?

Dar ina allergy na magari ya zamani?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Ukienda mikoa mingi ni kawaida sana kukuta gari hizi ndogondogo (baby walkers) za namba A au B zinadunda tu kitaani tena zikiwa katika hali nzuri kabisa.

Lakini kwa dar ukikuta gari namba A au B nyingi unakuta zimechoka kwelikweli.

Shida nini?
 
Wewe hata hujui umeandika nini
Ngoja nikueleweshe...Ubungo build up area ambapo magari yanazunguka na urban transport ipo busy, inaanzia Mto Kibamba mpaka Shekilango umbali wa zaidi ya 30km. Mji mkubwa kama Dodoma build up area inaanzia Veyula mpaka Mkonze ni kama 20km. hivyo hivyo kwa mikoa mingine sasa hapo unapataje milleage ya kuchakaza gari?
 
Hajakuelewa ila huu ndio ukweli na dar chumvi nyingi
 
Ukienda mikoa mingi ni kawaida sana kukuta gari hizi ndogondogo (baby walkers) za namba A au B zinadunda tu kitaani tena zikiwa katika hali nzuri kabisa.

Lakini kwa dar ukikuta gari namba A au B nyingi unakuta zimechoka kwelikweli.

Shida nini?
DAR
Kuna mazi alizawadiwa IST Namba C akagoma anataka Namba D au zaidi,

MWANZA
Kuna manzi alizawadiwa Carrina Ti Namba B, yaani jamaa aliyetoa zawadi alikuwa recognized hadi na mifugo hapo kwa wazazi wa Manzi kwa kifupi jamaa alionekana Mfamle mbele ya wafalme kwa zawadi hiyo kwa binti yao.

Dar na Mikoani kupo tofauti sana na hata perception ya wakazi wake, lipo la kujifunza
 
Haahaaa mkuu kuna ukweli hapo kwa trafiki?
Traffic wa Dar ni wahuni sanaa wanajua hizi namba za zamani hawajakamilika kwenye BIMA,ukitaka kujua Hilo pita barabarani na gari namba E lkn chafu utaona jinsi traffic wanavyosumbua
 
Ukienda mikoa mingi ni kawaida sana kukuta gari hizi ndogondogo (baby walkers) za namba A au B zinadunda tu kitaani tena zikiwa katika hali nzuri kabisa.

Lakini kwa dar ukikuta gari namba A au B nyingi unakuta zimechoka kwelikweli.

Shida nini?
Dar wanazinunua used Japan wakishazitumia wanaziuza mikoani zikiwa used used....
 
Ukienda mikoa mingi ni kawaida sana kukuta gari hizi ndogondogo (baby walkers) za namba A au B zinadunda tu kitaani tena zikiwa katika hali nzuri kabisa.

Lakini kwa dar ukikuta gari namba A au B nyingi unakuta zimechoka kwelikweli.

Shida nini?
Hali ya hewa ya bahari inachangia , chumvichumvi
 
Back
Top Bottom