Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Na kwa sasa ni namba E tu ndio inaonekana unajiweza tofauti na hapo labda uwe na unique model.DAR ukiwa na gari ya zamani utakamatwa na traffic Hadi ukome...
Hata mtaani utaonekana lofa Kwa namba A liyochoka
Wewe hata hujui umeandika niniMikoani millage unaitoa wapi? Mikoa mzima sawa na Ubungo.
Ngoja nikueleweshe...Ubungo build up area ambapo magari yanazunguka na urban transport ipo busy, inaanzia Mto Kibamba mpaka Shekilango umbali wa zaidi ya 30km. Mji mkubwa kama Dodoma build up area inaanzia Veyula mpaka Mkonze ni kama 20km. hivyo hivyo kwa mikoa mingine sasa hapo unapataje milleage ya kuchakaza gari?Wewe hata hujui umeandika nini
KilimanjaroKuna mikoa ni Fashion kabisa, unakutana na gari namba A utadhani ndo imetoka bandarini na wanauziana bei ghali tu.
Arusha pia.Kilimanjaro
Hajakuelewa ila huu ndio ukweli na dar chumvi nyingiNgoja nikueleweshe...Ubungo build up area ambapo magari yanazunguka na urban transport ipo busy, inaanzia Mto Kibamba mpaka Shekilango umbali wa zaidi ya 30km. Mji mkubwa kama Dodoma build up area inaanzia Veyula mpaka Mkonze ni kama 20km. hivyo hivyo kwa mikoa mingine sasa hapo unapataje milleage ya kuchakaza gari?
DARUkienda mikoa mingi ni kawaida sana kukuta gari hizi ndogondogo (baby walkers) za namba A au B zinadunda tu kitaani tena zikiwa katika hali nzuri kabisa.
Lakini kwa dar ukikuta gari namba A au B nyingi unakuta zimechoka kwelikweli.
Shida nini?
Haahaaa mkuu kuna ukweli hapo kwa trafiki?DAR ukiwa na gari ya zamani utakamatwa na traffic Hadi ukome...
Hata mtaani utaonekana lofa Kwa namba A liyochoka
Traffic wa Dar ni wahuni sanaa wanajua hizi namba za zamani hawajakamilika kwenye BIMA,ukitaka kujua Hilo pita barabarani na gari namba E lkn chafu utaona jinsi traffic wanavyosumbuaHaahaaa mkuu kuna ukweli hapo kwa trafiki?
Dar wanazinunua used Japan wakishazitumia wanaziuza mikoani zikiwa used used....Ukienda mikoa mingi ni kawaida sana kukuta gari hizi ndogondogo (baby walkers) za namba A au B zinadunda tu kitaani tena zikiwa katika hali nzuri kabisa.
Lakini kwa dar ukikuta gari namba A au B nyingi unakuta zimechoka kwelikweli.
Shida nini?
Hali ya hewa ya bahari inachangia , chumvichumviUkienda mikoa mingi ni kawaida sana kukuta gari hizi ndogondogo (baby walkers) za namba A au B zinadunda tu kitaani tena zikiwa katika hali nzuri kabisa.
Lakini kwa dar ukikuta gari namba A au B nyingi unakuta zimechoka kwelikweli.
Shida nini?