Pascal Mayalla mkuu, hakika toka kipindi cha marehemu mpaka sasa mnachakujivunia kama chama....Wakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Watanzania sio binadamu ni mifano ya binadamuWakuu,

Huyo si mwanafunzi mkuu na uniform amevaa?😀Yawezekana kabisa kutokana na dhana kwamba usanii walipa pengine watu walidhani wasaniii walikuwa kazini.
Kumbe kiuhalisia mtu atekwa hadharani. Pia kuna jamaa hapo kapita tu bila hata kuangalia kinoendelea.
Mzee Ali Kibao (RIP)alitekwa kutoka kwenye basi na abiria wengine wakiwa hawana cha kufanya na kwenda kuteswa kisha kuuawa.
Yep, nchi ya Kiislam....amani tupuDah! Eti nchi ya amani.
Watu hawana msaada kabisaa aiseeeWakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Sana ni wale watu wasiojulikana kabisa. Ndiyo maana tunahitaji haki ya kumiliki bundukiNimpe pole jamaa kunasuka hapo, maana wange mu RIP, pili inasikitisha sana wabongo hawasaidii wanamuangalia mtu akiwa matatizoni, baadae watume RIP
Aisee jamii inahitaji revolution , hii ni zaidi ya ukondoo
🤣🤣🤣🤣Mungu Kampa Mwili Wake Mkubwa Kama Kinga Ya Kuuliwa Na Wapumbavu
Dah!... inasikitisha sana..Wakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Nadhani mbali na hivyo ukiweza kubeba silaha yoyote, kujitetea ni bora mara mia ujitetee. Maana jamii ya kondoo haiwezi kukusaidiaSana ni wale watu wasiojulikana kabisa. Ndiyo maana tunahitaji haki ya kumiliki bunduki
Ndugu yake SativaHuyu bonge anaetaka kutekwa ni nani?Kuna anayejua details zake Hadi kufikia kutekwa?
Sasa wajikamate wenyewe au 😂🤣🤣Mmmmhhh aiseee, jamani, Serikali kamateni hawa watu wanaowakamata wananchi kwa namna hatari kabisa hii, hii sio sawa jamani