Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Wanaume wa Dar Wana ulakini mkubwa sana

Mchukua video alikuwa ka base kwenye tukio!

Kwanini asingepiga kelele huyu anaye rekodi kuomba msaada ?
Tumia akili wewe zuzu unajua kuna kupoteza ushahidi ...huyo mpiga picha awakumjua kuwa anawapiga picha kwa hiyo angefanya choko choko yoyote wangeweza kungamua na kumfuatilia hapo hapo
 
There is serious problem in our society.

Ni rahisi kusema kusema serikali inateka watu. Lkn kama system za utoaji haki zimekwama(police/mahakama) kutokana na rushwa + Kukosa uwajibikaji basi matukio kama haya hushamili na kuzua taaruki kwenye jamii.

Kinachobaki ni kila mtu kulinda roho yake
 
Tumia akili wewe zuzu unajua kuna kupoteza ushahidi ...huyo mpiga picha awakumjua kuwa anawapiga picha kwa hiyo angefanya choko choko yoyote wangeweza kungamua na kumfuatilia hapo hapo
Sawa mimi ni zuzu. Kwahiyo ni Bora akauliwe badae USHAHIDI uonekane ulikuwepo halafu kitakachofata ni Nini ndg mwerevu?

Kwa Mzee kibao si kulikuwa na abiria kibao kwenye gari USHAHIDI wao umesaidiaje ndg mwerevu na wote walisema gari ilikuwa ya police?
 
Tumefikia huku!!!, inatisha sana.
 
Alafu mnajidanganya Chadema itashika dola, kwa level hii ya unyumbu tusahau tu.. Mtu anapiga na kelele kabisa watu wamejificha, aisee inasikitisha!!
Ni suala la muda. Unachokifikiria kitafanyika! Unyumbu utaisha baada ya kujua adui yako ni adui wa wote!
Kwa sasa wengi wanadhani your struggles against police are own means to alleviate poverty!
 
Kesho keshokutwa hao hao wamama walioshika viuno mmoja wao atashikwa uchungu kujifungua, halafu watakwenda mgongea mwanaume mwenye bajaji awakimbize hosp. Pumbavu zao. Hata kupiga nduru hakuna?? Wanaume don't buy them drinks mkiwa viwanja ni wadangaji tu hao. Nothing can do to help you when you're in trouble. Piga nyama na ugali wako piga kinywaji chako jenga mwili wako.

Huyo mwamba kapambania uhai wake mwenyewe hadi yale mapepo yakamuachia pingu.
 
Tumia akili wewe zuzu hakuna kitu kina wachukiza wahalifu kama ushahidi ....wangejua huyo jamaa anawachukua picha lazima wangeongeza nguvu zao zote kuakikisha wanammaliza na huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…