Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Hivi jamani kwann mambo mengine msinyamaze mkijirekebisha.
Vyuo vingi ni kama extended high school sio uongo.
Zamani tulizoea ukisikia kitivo cha sheria, kitivo cha lugha unajua kabisa hapo kumesimama. Siku hizi hovyo hovyo
Yapite