JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Dar iwe na Tolerance zones bila police interference kama hizo bars zikusanye kodi kwa niaba ya dada poa itapiga hela sana.
Mfano kuanzia Bamaga hadi Shekilango pawe tu red light district na TRA ichukue kodi itapiga hela nyingi sana locals na watalii.
Mfano kuanzia Bamaga hadi Shekilango pawe tu red light district na TRA ichukue kodi itapiga hela nyingi sana locals na watalii.