Dar iwe na “Red Light Street” kama Ulaya

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Dar iwe na Tolerance zones bila police interference kama hizo bars zikusanye kodi kwa niaba ya dada poa itapiga hela sana.

Mfano kuanzia Bamaga hadi Shekilango pawe tu red light district na TRA ichukue kodi itapiga hela nyingi sana locals na watalii.

Your browser is not able to display this video.
 
Ushauri tu!! Au sio?
 
Ifike wakati tuache unafiki biashara ya ukahaba ianzwe kukatwa kodi kuna hela nyingi sana serikali inapoteza mapato,kuhusu usalama wafunge streets camera.
 
Na wanaokuja kutoka jirani wanaoongea English watawapiga bao la mkono wenzao na hapo ndio ngumi zitaanza
Au nao wakate vibali kama vya mazao
 
Hiyo video hapo juu nafikiri imechuliwa Pataya, Thailand. Kuna gono hapo kama upupu. 10 US$ tu hapo unamtoa mtu kinyesi mpaka asubuhi. Hii Dunia hii mwisho wake utakuwa mbaya sana.
 
Hiyo video hapo juu nafikiri imechuliwa Pataya, Thailand. Kuna gono hapo kama upupu. 10 US$ tu hapo unamtoa mtu kinyesi mpaka asubuhi. Hii Dunia hii mwisho wake utakuwa mbaya sana.
Dunia haina mwisho,,,mwenye mwisho ni wewe na viumbe hai wengine,,,Kiumbe hai ndio anaihitaji dunia,,kuliko dunia kuhitaji kiumbe hai!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…