Dar - Joburg -Dar (ATC 523 USD Vs Malawian 323 USD)?

Dar - Joburg -Dar (ATC 523 USD Vs Malawian 323 USD)?

Destination Ile Ile (3-4hours) ila tofauti NI 200USD anyway kupanga ni kuchagua!! Nionavyo ni kama tunamfanyia Promo Malawian airlines bila kujua. Hope ndege yetu inajaa!
Tangu lini serikali ya Tanganyika iweze competitive business, we angalia tu Udart kila kitu wanacho ila biashara inasuasua mpaka leo.
 
Tuna watu hawafikirii biashara
Naona unajitahidi kufufua uzi wako. Wasafiri wa kweli hawapendi hio connection. Direct flight ni option ya kwanza kwa msafiri serious. I'd rather pay extra than having extra take offs and landings.
 
Malawi airline ina abiria wengi sana kwa sisi tunaokata Tiket moja ni usd 263 na kupita hapo Blantyre ni dk 35 kusubiri ndege ingine labda itokee emergency na unafika mchana muda sahihi wa kufika JHB kuliko Rwanda wanafika alfajiri na hao ndugu zake ET kwa wanaosafiri mara kwa mara ndani ya mwezi mmoja wamenisaidia sana hao jamaa..
 
Unanunua ndege kwa pesa ya walipakodi wa Tanzania,unampa kada mjinga asimamie shirika
 
Back
Top Bottom