Nipo Tegeta...
Kila muda kiu...
Kila baada ya lisaa naoga mpaka nishaanza kukonda....
Ndani hapakaliki, feni zinapuliza lakini hamna kitu....nani kwao ako na AC nikaribie mie usiku wa leo
Jua kali linapunguza nguvu za kiume, waulizeni waarabu huko bara Asia watawaambia..so ndugu zetu mnaoishi dar mjiandae maana kende zinahitaj hali flani ya ubaridi ili zizalishe mbegu bora na zenye nguvu..njia mbadala jioni mnapopumzika chukueni visado lowekeni pu*bu zenu kwa heshma ya ndoa..kwa waliooa.
Naishii kuleeee karibia na Rabininsia
Karibu Nganashe tupate Mdudu ... Halafu leo unahitaji kuja na Mtumbwi kabisa...Naishii kuleeee karibia na Rabininsia
πππ nitakaribia mvua zikiishaKaribu Nganashe tupate Mdudu ... Halafu leo unahitaji kuja na Mtumbwi kabisa...
Naishii kuleeee karibia na Rabininsia