LGE2024 Dar: Kada wa CCM avishukia vyama vya upinzani kwa kushindwa kusimamisha wagombea. Asema CCM haijadharau Uchaguzi

LGE2024 Dar: Kada wa CCM avishukia vyama vya upinzani kwa kushindwa kusimamisha wagombea. Asema CCM haijadharau Uchaguzi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Hii ndio tactic mpya ya CCM au ndo kupoteza mvuto kwa wagombea wa hiki chama.

Ukiwasikiliza kwenye kampeni wamekuwa so obsessed na CHADEMA badala ya kunadi sera za wagombea wao

Soma pia: ACT wazalendo: Wagombea wetu Kigogo, Dar es salaam hawajateuliwa

Akiongea hivi karibuni, kada wa CCM ambaye ni Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Dar es salaam Ally Makwiro akiwa kwenye kampeni amesema kuwa CCM ndio chama pekee kinachojali Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na ndio maana wameweka wagombea kwa asilimia 100 huku wapinzani wakishindwa kufikisha hata asilimia 30.

========================================

Kuna muda unajiuliza huyu alikuwa hasikiii jinsi wapinzani walivyokuwa wanaenguliwa kwa makusudi na TAMISEMI au ndo kujizima data?

 
Back
Top Bottom