Akiongea hivi karibuni, kada wa CCM ambaye ni Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Dar es salaam Ally Makwiro akiwa kwenye kampeni amesema kuwa CCM ndio chama pekee kinachojali Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na ndio maana wameweka wagombea kwa asilimia 100 huku wapinzani wakishindwa kufikisha hata asilimia 30.
========================================
Kuna muda unajiuliza huyu alikuwa hasikiii jinsi wapinzani walivyokuwa wanaenguliwa kwa makusudi na TAMISEMI au ndo kujizima data?