Dar kila mtanashati ni bishoo ,ukipata hela unauza unga

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Marekebisho kichwa cha habari

Dar kila mtanashati ni shoga ,ukipata hela unauza unga



Sikatai zama hizi haya mambo sijui kama yameongezeka ila nadhani teknologia imekuwa sana kiasi cha kuwa rahisi kuwamulika wazee wa ngada na mashoga .

Tatizo nimenotisi yaani kila kijana mtanashati huwa ni shoga ingia mitandaoni anzia diamond,Jux,ommy dimpoz,christian bella ,.......hawa ni wale maarufu huku mtaani ukaonekana perfume kila saa kiatu kinangáa yaani haraka sana vijiweni ni shoga .

Kuna kipindi nilihamia ule mtaa wa kanisa la mzee pinda kinondoni ,nilikuwa nimeajiriwa kwenye law firm moja mjini kati kwa kuwa mwezi wa mwanzo sikuwa na gari kwani nililiacha mkoan nikawa kila nikija mtaani nagari tofauti ,kidogo mimi siko social kiivyo nkawa sina time sana na maisha ya mtaani nkikaa baa nakaa mwenyewe napiga kilaji huyoo home ,weekend nashinda ndani na jamaa zangu wasio wa mtaani nkitoka ni moja kwa moja job .

Sasa akanitembelea mdogo wangu ambae yeye mwenzangu yuko very social week tu washamjua watu wote tena hadi anakopa madukani wakati mimi nkimaliza salamu sina la kuongeza ,basi kuukaa nao ndo akaniambia vijana wanaomba awaconnect na mimi niwafanye container kupeleka unga nje ya nchi ,mara nina urafiki sana na mbunge flani ambae ndo mzee wa poda ,mimi hata kuwahi kumuona sijawahi ,mara sijui huwa naleta marafiki zangu wanakuja kuchukua mzigo kwangu na stori zilikuwa detailed sana ,nikahisi utani akanionesha na meseji zote .

Baada ya wiki polisi wakaja kwangu wakakagua kinyama .
 
Kuna utanashati wa Kiume na Utanashati wa Kishoga. Sasa we Kijana wa Kiume unavaa Skin Jeans na Vikaptula vya Maroon vimeishia juu ya magoti alafu ukiitwa shoga unakataa vipi? Yaani saivi kuna vijana uvaaji wao tu ni ngumu sana kuwatofautisha na mabinti
 
mkuu mambo ya mavazi ni subjective kama lilivyo suala la staili ya nywele mimi napenda panki we unapenda rasta mwingine kiduku as long as hazidhuru afya yetu wala ya wengine na sheria haijakataza ,ni topic ya kuvumiliana ,ni kama ilivyo dini hatujakubaliana kuwa yesu ni mungu ,ila tumeachana na hiyo topic kwa kuvumiliana tu,wewe ulivyo kuna watu hawakuelewi kwa sababu kuna wewe mmoja tuu ,hawa unawasema wanavaa vichupa ndo uchi hebu tuangalie hawa babu zako :
 
Basi kesho anza kupaka Lipstick mtoto wa kiume na uvae shanga kabisa kiunoni sababu eti mavazi ni "Subjective"!
 
Basi kesho anza kupaka Lipstick mtoto wa kiume na uvae shanga kabisa kiunoni sababu eti mavazi ni "Subjective"!
kama unapaka lipstic ile nyekundu hilo ni extreme case .lakini kuna wenye lips zinapasuka na kukauka ipo lipstic kwa ajili ya wakitumia wanarudi normal .mi naamini kama wewe sio shoga na unajiamini ni nini kinakufanya uwe very sensitive na utanashati
 
kama unapaka lipstic ile nyekundu hilo ni extreme case .lakini kuna wenye lips zinapasuka na kukauka ipo lipstic kwa ajili ya wakitumia wanarudi normal .mi naamini kama wewe sio shoga na unajiamini ni nini kinakufanya uwe very sensitive na utanashati
Niko sensitive na utanashati wa Kikekike kama vile kuvaa skin Jeans etc.
 
Yani hiyo ni sahihi, nishakutwa na matukio hayo, vijana wa mikocheni b wengi wakawa wanajua nasukuma poda kisa magari, kumbe mwenzao nilijpanga na pesa mbuzi za kudunduliza. Vijana wa kibongo vijiwe vinawalemaza na uwezo wa kufikilia unapotea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua binafsi mimi ni very economical with my money...kwa hali ya kawaida mtu akiniona anaweza sema nina tumia hela hovyo...la hasha i spend money after re-making it...

Hata kununua viji asset vyangu kadhaa ni after being tooo calculating with my savings and making simple smart investments...na udalali (real estate & cars ) as a side hobby hizi 300k, 500K hadi 1 M at times hazinipiti kabisa na soon nataka ni venture niwe MC wa events.

Bana siku watu wasinizushie mi nina mtandao wa utapeli (Nikawaambia Sheria na Vyombo Vya Usalama vipo wavitumie). Daaah nilichoka sanaa to be honest.

Mtu sina anasa za kijinga, sihongi hovyo wala kununulia watu beer kishamba shamba...hela yangu hyo hyo ya kuunga unga na make nimejenga kibanda changu nakuja ambiwa mambo ya ajabu.

Trust me siku zote mafanikio yanaanza kichwani mwako. Its all in the mind.

Wabongo wana balaa sana. Ule wimbo wa FA na Billnass nilikujaga kuuelewa sana. Kujuana sana na watu nayo matatzo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wabongo ukiwanunulia bia wanakuona fala, ukiwapitia mwamba wa juu wanakuona unaringa. Hawakosi maneno ya kuongea hawa.
 
Kwaio umetoka mkoani ukaenda kukaa kinondoni kwani hujui biashara ya kinondoni ni ipi?
 
Kwaio umetoka mkoani ukaenda kukaa kinondoni kwani hujui biashara ya kinondoni ni ipi?
Nimezaliwa dar ,mikoani nafataga fursa narudi by the nlikuwa nimejenga nje ya mji kwa mishe zangu ilikuwa ni mbali,Ila nimesoma na kukulia sinza
 
Ha ha ha wabongo bana....ninapoishi sasa hivi huku uswazi hamna mtu anaejua nafanya nini na wapi. Wanasema niko UWT.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…