Kasri Homes Tz
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 514
- 698
.> Kimara Kona. Mwendo wa dakika 5 kwa miguu kutoka Morogoro Road
> Imefanyiwa ukarabati. Samani zimo
> Vyumba 10 vyote selfu; kaunta; chumba cha watumishi; public w/c nje
> Full ac, madirisha aluminiam, paving, uzio, parking
> Sqm +500
> Hati ya wizara
> TZS milioni 100
> Kwenda Site TZS 30,000
Mitandaoni:+255 767 157788
@kasrihomestz
Swali la msingiJiwe la Tanroad lipo umbali gani?
Swali la msingi
[/ Akikujibu ni tag🤣🤣
Kabia hapohapo…usiachie mpaka ateme bungo…Jiwe la Tanroad lipo umbali gani?
Nilihesabu dakika wakati natembea. Zilikuwa dakaki 5.Jiwe la Tanroad lipo umbali gani?
Kimara japo kuna nyumba nzuri lakini ni mwendo wa vichochoro, na hakuna mpangilio, unaweza kujiona umetembea muda lakini uko pale paleNilihesabu dakika wakati natembea. Zilikuwa dakaki 5.
Na wewe nisaidie kubadili dakika kwenda umbali kwa hatua za mtu mzima