KERO Dar kuna mgao wa umeme? TANESCO tuwekeni wazi tujue

KERO Dar kuna mgao wa umeme? TANESCO tuwekeni wazi tujue

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Ni wiki sasa tangu nione kukatika kwa umeme maeneo mbali mbali hapa Dar.

Hivi navyoandika hapa mtaani nilipo umeme umekatika na jana pia ulikatika najiuliza je, kuna mgao?

Kama kuna mgao kwa nini TANESCO mpo kimya hamtoi taarifa, mnatuharibia kazi zetu semeni tujue basi
 
Back
Top Bottom