HahahaaaaaAngalia kwa umakini mkuu huko kuna wanaume wanavaa na kujipamba kama wanawake[emoji1787][emoji1787]
πππMkuu umekaa Makumbusho stand au Posta Kwenye Garden karibu na NBC.
Maeneo hayo ukikaa utaona tunu za wanawake wa kitanzania.πππ
Itakuwa mlimani city mkuu .. kumbe na makumbusho wapo eeh..πMkuu umekaa Makumbusho stand au Posta Kwenye Garden karibu na NBC.
Naona amefkia dar tu ajatembea mikoaMkuu umefika Arusha?
Kuwapata wanawake dar ni rahisi tofauti na huku mkoani videm vya mkoani vijeuri
Onesha pesa wewe.......au ujui penye uzia penyeza rupiaπππππKuwapata wanawake dar ni rahisi tofauti na huku mkoani videm vya mkoani vijeuri
Angalia huyu soon!!! utafanywa Bwabwa tena kwa lazima hao unao dhani ni wanawake ni madume haswaaa!! yana mishedede tena hatari!!Niko sehem nimekaa hapa, yani wanaopita ni wanawake wengiwao, halafu wazuri! Yani dar bana
Mpaka nafikiria huko mikoani watu wanaishije? Wanakosa mengi sana
Mkuu hapo Mlimani City wengi wanaenda kama shopping,show off na recreation. Jaribu kutembelea Makumbusho Stendi siku za week au Pale Posta mpaka NBC utakutana nao wamevaa official na hawana makuu.Itakuwa mlimani city mkuu .. kumbe na makumbusho wapo eeh..π