Paul Mchumi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 1,039
- 1,256
Thanks mkuu!Inafika vizuri kabisa kikubwa fanya service vyema kabla ya kuondoka na unapokuwa njiani usiige mwendo wa dereva anae kupita, hii huwa nichangamoto kubwa sana kwa madereva wengi pindi wawapo bara barani pindi wanapo pitwa na magari mengine.
Kupumzisha naizima kabisa,au naiacha sailensa mkuu!Kwani usifike??
Ukiachana na mambo ya service pia jitahidi na ni muhimu kuzingatia hili
1.usiende zaidi ya speed 100
2.jitahidi kupumzisha mashine kila baada ya km 120
3.usifanye na league na akina Subaru utapasua block
4.kama gari yako unatumia maji Kwenye rejeta mwaga maji yote na uanze kutumia coolant itasaidia Sana kupoza engine ya gari yako
5.kama sio mzoefu wa Safar ndefu usitembee usiku Mkuu hii ni muhimu Sana Kwa maisha yako pia usitembeze gari ukiwa alone
Silence Tu Kwa dk 10-15Kupumzisha naizima kabisa,au naiacha sailensa mkuu!
Haswa kwa gari ndogo aliyonayo asikimbizane na Crown, Altezza, Subaru wala Land Cruiser yeye awe mpole tu afike salamaInafika vizuri kabisa kikubwa fanya service vyema kabla ya kuondoka na unapokuwa njiani usiige mwendo wa dereva anae kupita, hii huwa nichangamoto kubwa sana kwa madereva wengi pindi wawapo bara barani pindi wanapo pitwa na magari mengine.
Kwanini aipumzishe kila baada ya 120km?Kwani usifike??
Ukiachana na mambo ya service pia jitahidi na ni muhimu kuzingatia hili
1.usiende zaidi ya speed 100
2.jitahidi kupumzisha mashine kila baada ya km 120
3.usifanye na league na akina Subaru utapasua block
4.kama gari yako unatumia maji Kwenye rejeta mwaga maji yote na uanze kutumia coolant itasaidia Sana kupoza engine ya gari yako
5.kama sio mzoefu wa Safar ndefu usitembee usiku Mkuu hii ni muhimu Sana Kwa maisha yako pia usitembeze gari ukiwa alone
120 kupumzika mbona kama ndogo sana mkuuKwani usifike??
Ukiachana na mambo ya service pia jitahidi na ni muhimu kuzingatia hili
1.usiende zaidi ya speed 100
2.jitahidi kupumzisha mashine kila baada ya km 120
3.usifanye na league na akina Subaru utapasua block
4.kama gari yako unatumia maji Kwenye rejeta mwaga maji yote na uanze kutumia coolant itasaidia Sana kupoza engine ya gari yako
5.kama sio mzoefu wa Safar ndefu usitembee usiku Mkuu hii ni muhimu Sana Kwa maisha yako pia usitembeze gari ukiwa alone
Mkuu Passo ya piston 3 engine yake unapata Sana Moto ikitembea umbali mrefuKwanini aipumzishe kila baada ya 120km?
Kwa mfano akifika morogoro,mikumi,iringa,makambako hizi sehemu zote inafaa apumzishe engine ili kuipa nguvu na kutoichosha mashine120 kupumzika mbona kama ndogo sana mkuu
upo nje ya topic....nalijua hilo,na nishafanya cost benefit analysis vizuri,ndio maana ikaja option ya kwenda na gari!Kwanini utumie gari ya soft trip kufanya long haul? panda basi beba hela ya kukodi bajaji huko Mbeya
Kama umeamua kuipumzisha gari izime kabisa. Usiweke silence. Gari ukiiweka silence (idle) hujaipumzisha bado, engine bado inaendelea kuwa moto na tena kama umepiga nayo safari ndio kabisa inaendelea kuwa moto haipoi. Kumbuka, unapokuwa njiani, sio maji tu ndio yanapoza mashine, ule upepo unaopiga kwenye radiator na engine kwa ujumla unasaidia sana tena sana kupoza mashine ndio maana ukikaa silence mda mrefu unaona feni zinazunguka. ila kama upo kwenye mwendo, hutozisikia zikizunguka kwa sababu tayari upepo wa kutosha upoKupumzisha naizima kabisa,au naiacha sailensa mkuu!
Watajuaje ana gari?Kwanini utumie gari ya soft trip kufanya long haul? panda basi beba hela ya kukodi bajaji huko Mbeya
Ndio akili yako ilipoishia,...ndio nyinyi mpaka leo mnaona kuwa na gari ni ufahari....wakati nowadays gari ni basic need,na unaamua kuwa na gari ili ikurahisishie maisha,....ubovu watanzania tunaona sifa kuwa masikini.....,sasa ka gari kama haka ka passo ambako mtu yeyote akijipanga ananunua wewe kichwani mwako unawaza ufahari.,....tujifunze kuficha upumbavu wetu kwa kukaa kimya....!Watajuaje ana gari?