Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,629
- 13,551
🤣Anasema hajarithi, baba yake alikataa kumpa pocket money wakati anasoma Canada kwa kudai kuwa ameshakuwa mtu mzima ajifunze kutafuta pesa. Hapo ndio akaanza kufanya biashara ya kusafirisha mitumba kutoka Canada kuja Bongo.
Hizi stori za matajiri jinsi walivyofanikiwa zinaingia akilini kwa matajiri wenyewe.
Nilishakutana nae pale mchicha godown lake la kuhifadhia sulphur aiseee kijana mwenzetu kabisa huyu na huwezi mdhania hata kidogoMi mwenyewe nimemgoogle huyo jamaa wa lae oil af ni chalii sana 36 yrs... Hizi investment za lake sio mchezo kila Kona wapo.... Au karithi pesa
Hilo wanalikimbia siku hizi maana limekongorokaPremier boss
Essanda ni zuri sana.Hilo wanalikimbia siku hizi maana limekongoroka
Kuna Essanda, Ally's na Nyehunge
SureThat explains it. Haiwezekani wengine wote wafe ukasema hawajui wanachokifanya there's more to it. Hii ni biashara kichaa kuliko zote.