It is now very possible....everyday, everytime....today& tomorrow, Arusha vijana wanathubutu kwenda vituo vya polisi wanasema hizi ni rasharasha na bado Mvua kamili mpaka wapate wanachokipata....face to face to police eyesI have goose bumps all over my body! I never thought this was even remotely possible!
I have goose bumps all over my body! I never thought this was even remotely possible!
Wameshaanza kutangaza kura!Tume ya uchaguzi wanasemaje? Mpaka dakika hii hawajaanza kutoa updates, au bado wanazipika πππ
Amiri Jeshi asitesikilizwa hiyo ni takataka!Wanategemea jeshi lisaidiye kumuondoa wasiyemtaka wakati huyo wasiyemtaka ni amiri jeshi mkuu.
Logic gani hii?
Imefanyika, na gharama inalipwa ya uhai na mali hapa nilipo ni moto unawaka.I have goose bumps all over my body! I never thought this was even remotely possible!
Hakuna neno mkuu acha TUONE mwishoMkuu,
Mimi bado sijawa impressed mpaka wamtoe Samia.
Kama hawajamtoa Samia watakuwa wametoa statement kubwa, wameenda pale ambapo hawajawahi kwenda, lakini hiyo haitamaanisha kuwa wamefanya kitu cha kubadilisha nchi cha msingi.
Kwa sababu fujo zote hizi wanavyofanya na kujirekodi kesho wanaweza kushitakiwa na hizi video zikatumika kama ushahidi kuwa walifanya looting.
Kama wale Wamarekani wa January 06 2021 waliovamia Congress.
Wakati Samia akiwa rais bado.
So. Mpango wa kumtoa Samia unaendaje?
Kama hakuna mpango wa kumtoa Samia bado mnacheza makida makida tu.