Wako wapi waliokuwa wanashabikia wale wanaharakati njaa akina Tausi Likokola na Liberatus Mwang'ombe waliokuwa wanalamba viatu vya Senator Ted Cruz? Yaani Tundu aropoke ule ushuzi wake halafu muemde mlielie kwenye bunge la Marekani??Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.14 kupitia uwekezaji wa pamoja wa nchi hizo mbili.
Makubaliano hayo yanajengwa juu ya mafanikio ya ushirikiano wa muda mrefu kati ya Tanzania na Marekani katika sekta ya afya, yakilenga kuimarisha mifumo ya afya kwa kuboresha hospitali, maabara na uwezo wa wataalamu wa afya ili kuboresha utoaji wa huduma
UHUSIANO MZURI WA NCHI NA NCHI,HAUWI SAWA NA UHUSIANO WA RASHID NA HUSSEIN,Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.14 kupitia uwekezaji wa pamoja wa nchi hizo mbili.
Makubaliano hayo yanajengwa juu ya mafanikio ya ushirikiano wa muda mrefu kati ya Tanzania na Marekani katika sekta ya afya, yakilenga kuimarisha mifumo ya afya kwa kuboresha hospitali, maabara na uwezo wa wataalamu wa afya ili kuboresha utoaji wa huduma
Unataka ujifungue bure!,bure kabisa?Asante kwa taarifa
Acha basi nishike uja uzito
Ni matumaini yangu nitajifungua bure baada ya msaada huu wa wazungu
JIchanganye.Asante kwa taarifa
Acha basi nishike uja uzito
Ni matumaini yangu nitajifungua bure baada ya msaada huu wa wazungu
Ningependa iwe bure mkuuUnataka ujifungue bure!,bure kabisa?
Aisee nasikia zenji ni bureJIchanganye.
Kusex usex kwa gharama.
Halafu kujifungua ujifungue bure.
Uliona wapi?
Kama ni msaada wa majengo to je?Ningependa iwe bure mkuu
Pesa ya msaada tumepewa
Basi acha nitulieKama ni msaada wa majengo to je?
--umelitafuta na utalinywa leo ----Basi acha nitulie
Nime nimebadili mawazo--umelitafuta na utalinywa leo ----
Haya zaaneni na ubaridi ndiyo huu..
chanzo cha Taarifa PlsSerikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.14 kupitia uwekezaji wa pamoja wa nchi hizo mbili.