Swali ni Je anamiliki kihalali?au haruhusiwi kumiliki bunduki ya kivita
Asante kwa taarifaHakuna kibali cha kumiliki bunduki ya kivita.
Duh silaha ya kivita hiyo!
Ova
Nilipataga nafasi ya kukamatia LMG na kupigaa zile risasi sitini kisha nikampasia mwenzangu nae akamalizia arobaini...ni raha sanaaa[emoji4]Kama huijui ione tuu hivyo hivyo ila mziki wake hata ukikamua triger hadi raha kwa kweli zinavyotoka[emoji2][emoji2]
Bunduki zote ni za vita anaekataa aniletee isiyo ya vita.Hakuna kibali cha kumiliki bunduki ya kivita.
Bunduki na Mshale ni raha kujifunza kulenga shabaha au kishambulia viumbe hatari kwa mwanadamu, lakini si vyema zinavyotumika kwa Binadamu!Kama huijui ione tuu hivyo hivyo ila mziki wake hata ukikamua triger hadi raha kwa kweli zinavyotoka[emoji2][emoji2]
Kama huijui ione tuu hivyo hivyo ila mziki wake hata ukikamua triger hadi raha kwa kweli zinavyotoka[emoji2][emoji2]
Bunduki na Mshale ni raha kujifunza kulenga shabaha au kishambulia viumbe hatari kwa mwanadamu, lakini si vyema zinavyotumika kwa Binadamu!
NB: Haya machuma sijui kutumia naona kwenye Documentary za Syria,DRC,Sierra Lione,Libya na Afaghan
Bunduki zote ni za vita anaekataa aniletee isiyo ya vita.
Matumizi ya silaha ni hatari kwa Maisha ya Binadamu.