Dar: Mlipuko Kigamboni, moto unawaka

Dar: Mlipuko Kigamboni, moto unawaka

Tareq20

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
322
Reaction score
977
Muda sio mrefu nimesikia mlipuko mkubwa hapa ferry mwenye taarifa zaidi atujuze kipi kimetokea

Mlipuko ni mitungi ya gesi inakipuka pale Taifa gesi nagari ya zimamito yanaelekea huko huku Tabesco wakiwa wamezina umeme Hadi muda huu
Tupo nje tu tunashangaa tujue hatma isije unarud ndan moto unaongezekana hapa kigamboni maeneo mengi gesi imepita chini

20221006_230706.jpg
20221006_230721.jpg
 
Mlipuko ni mitungi ya gesi inakipuka pale Taifa gesi nagari ya zimamito yanaelekea huko huku Tabesco wakiwa wamezina umeme Hadi muda huu
Tupo nje tu tunashangaa tujue hatma isije unarud ndan moto unaongezekana hapa kigamboni maeneo mengi gesi imepita chini
 
Ban zinawahusu kina nani?

Kuna hbr zinaletwa Hapa Kwa Kweli ukiziangalia ni taharuki tupu....MTU anakwambia. .. 'Mlipuko kigamboni'...! Hlf Anaishia hapo hapo.. Unajua Kwa statement hiyo Wapo waliopoteza Meno..Na Wengine Wemetoa Kucha Kwa Kukimbia..! Sio masihara!

Mods Muwale Vichwa Watu Wa Namna hiyo..!
 
Poleni kwa usumbufu raia wa Kigamboni, nilikuwa napiga chafya
 
Ni malori mawili yenye tank ya mafuta yamelipuka yakiwa kituo cha mafuta kinachoitwa OVIS, kama unaelekea darajani.

Zimamoto wamefanikiwa kudhibiti moto kwani haujasambaa.

Eneo hilo lina vituo viwili vya mafuta vilivyofuatana na depot ya Taifa gas upande wa pili wa barabara.
 
Hapo masikini anaenda kusali ama anasali ama anafurahia moyoni mwake naye Mungu akamuona ama akasikia maobi yake.
Hapo tajiri aliyeunguliwa atajenga vitatu Mana Kuna bima kwa gari na mafuta
 
Ban zinawahusu kina nani?

Kuna hbr zinaletwa Hapa Kwa Kweli ukiziangalia ni taharuki tupu....MTU anakwambia. .. 'Mlipuko kigamboni'...! Hlf Anaishia hapo hapo.. Unajua Kwa statement hiyo Wapo waliopoteza Meno..Na Wengine Wemetoa Kucha Kwa Kukimbia..! Sio masihara!

Mods Muwale Vichwa Watu Wa Namna hiyo..!
😅😅
 
Mlipuko ni mitungi ya gesi inakipuka pale Taifa gesi nagari ya zimamito yanaelekea huko huku Tabesco wakiwa wamezina umeme Hadi muda huu
Tupo nje tu tunashangaa tujue hatma isije unarud ndan moto unaongezekana hapa kigamboni maeneo mengi gesi imepita chini
...Mkuu, Tulia Kwanza! Umeandika kama Unakimbia Moto! Andika Vizuri utujuze kinachoendelea huko...[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom