Mlipuko ni mitungi ya gesi inakipuka pale Taifa gesi nagari ya zimamito yanaelekea huko huku Tabesco wakiwa wamezina umeme Hadi muda huu
Tupo nje tu tunashangaa tujue hatma isije unarud ndan moto unaongezekana hapa kigamboni maeneo mengi gesi imepita chini
Wewe ndo upo kigambon halafu unatuuliza sisi Micheweni?Muda sio mrefu nimesikia mlipuko mkubwa hapa ferry mwenye taarifa zaidi atujuze kipi kimetokea
Wewe na nani ?Wewe ndo upo kigambon halafu unatuuliza sisi?
Je kama wa kigamboni wenzie wote wamelala ? Jamaa anaweza kuwa sahihi😁Wewe na nani ?
Jamii forum nzima kigamboni anakaa peke yake ?
Bado pantom kuzama mwakua huuHii ni mara ya 3 kigamboni kunatokea milipuko ndani ya mwaka huu huu
Hakuna daraja?Bado pantom kuzama mwakua huu
😅😅Ban zinawahusu kina nani?
Kuna hbr zinaletwa Hapa Kwa Kweli ukiziangalia ni taharuki tupu....MTU anakwambia. .. 'Mlipuko kigamboni'...! Hlf Anaishia hapo hapo.. Unajua Kwa statement hiyo Wapo waliopoteza Meno..Na Wengine Wemetoa Kucha Kwa Kukimbia..! Sio masihara!
Mods Muwale Vichwa Watu Wa Namna hiyo..!
Utaenda malizia leoHuu moto umenikatia Stimu, nilikua napiga Nyagi yangu ufukweni hapo kivukoni
...Mkuu, Tulia Kwanza! Umeandika kama Unakimbia Moto! Andika Vizuri utujuze kinachoendelea huko...[emoji848][emoji848][emoji848]Mlipuko ni mitungi ya gesi inakipuka pale Taifa gesi nagari ya zimamito yanaelekea huko huku Tabesco wakiwa wamezina umeme Hadi muda huu
Tupo nje tu tunashangaa tujue hatma isije unarud ndan moto unaongezekana hapa kigamboni maeneo mengi gesi imepita chini