DAR: Mwanafunzi UDOM anyongwa

Kumbe Izrael to be hakuna mbali na tukio akaja kumchukua Wife to be jumla jumla
 
mmh mbona km kuna ukakasi hivi maan marehemu alituma sms kwao hayupo, (kwenye mikono salama) alafu mwili (umeokotwa) haujakutwa guest house huko.

Hichi kifo chanzo kinaweza kuwa mapenzi wafuatilie mawasiliano ya simu zao watajua nn chanzo ila nahisi kuna mtu wa tatu ndio atafumbua mambo majibu ya yote haya.
 
pole sana kwa wazazi na familia. inasikitisha sana pale ambapo familia ni watu wa mwisho kujua kifo cha mpendwa wao.
 
Polen wazaz.Nime imagine kama tukio hil limejitokeza kwa wanangu nikahis uchungu mmoja mbay sana.I cant imagine wazaz wa binti huyo hali yao ni ngumu kiasi gan.Mungu awalinde sana watoto wetu
 
Hizi simu hiziii jamanii. Ila hata iweje haikuwa na haja ya kumuua
 
lawama kwa wazazi wa mwanamke, je mama hakujua kwamba mwanaye ni mwanafunzi na anagawa papuchi? je dini inaruhusu kutoa uchi kabka ya ndoa? ka a sivyo wazazi walaumiwe, haya je wazazi wa kiume hawakujua mwanao ana demu na ni kinyume cha maadili? mpaka afikie kipindi cha kuoa? kama ndivyo basi walaumiwe wote kabisa,

mapenzi na shule ni mbingu na jehanamu, bora hata watoto wafundishwe kupiga puli kuliko mapenzi.
 
lawama kwa wazazi wa mwanamke, je mama hakujua kwamba mwanaye ni mwanafunzi na anagawa papuchi? je dini inaruhusu kutoa uchi kabka ya ndoa? ka a sivyo wazazi walaumiwe, haya je wazazi wa kiume hawakujua mwanao ana demu na ni kinyume cha maadili? mpaka afikie kipindi cha kuoa? kama ndivyo basi walaumiwe wote kabisa,

mapenzi na shule ni mbingu na jehanamu, bora hata watoto wafundishwe kupiga puli kuliko mapenzi.
 
Vijana wa kizazi hiki wanahitaji sana elimu ya mapenzi..hasa kwenye kipindi hiki cha teknolojia ya simu za mikononi..maana hapo Ndio kwenye tatizo kubwa.
hiyo elimu inatolewa wapi mkuu na mimi yasinikute walau nipate kacheti
 
we umejuaje kama mauti yake yamesababishwa na mapenzi?? wakati yeye alienda kukata tiketi na meseji yake ya mwisho alisema hayuko katika mikono salama
 
Maelezo yanasema UDOM heading inasema UDSM

😀ont folo folo me wizout ene bikoz:
 
Muuaji kwa sababu yoyote ile, iwe sababu za wivu wa kimapenzi, kiimani, kisiasa, kiuchumi au nyingine yeyote iwayo, au awe ana kichaa kinachoonekana au kilichofichika, au ni shetani katika umbile la mwanadamu, ni laana kwa jamii yoyote ile.

Mungu awape ujasiri wazazi na jamaa wote wa karibu wa mwanadamu huyu mwenzetu iliyepitishwa kwenye njia ya mateso makali kabla ya kufikia mwisho wake.

Mungu wetu mwenye huruma, ayatazame mateso yake na ayageuze kuwa sadaka ya pale alipomkosea Mungu wake na wanadamu wake, na kisha amjalie pumziko la milele.
 
Reactions: Pep
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…