Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Juma Khatibu amekanusha madai yanayochapishwa kupitia Video Clip inayosambaa Mitandao ya Kijamii kuhusu baadhi ya Vituo vya kupiga kura kuendesha zoezi hilo kinyume na Utaratibu.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Amesema akiwa mwakilishi wa Vyama vya Siasa Tanzania, amezunguka kujionea hali ya Vituo vya Kupigia Kura jijini Dar es Salaam ikiwemo Wilaya ya Kinondoni, ambapo amejiridhisha kuwa madai yaliyotolewa kupitia Video hiyo na kubaini kuwa ni upotoshaji unaolenga kudhoofisha zoezi la Uchaguzi huu na nia njema ya kukuza Demokrasia ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Vyama vya Siasa nchini.