Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Juma Khatibu amekanusha madai yanayochapishwa kupitia Video Clip inayosambaa Mitandao ya Kijamii kuhusu baadhi ya Vituo vya kupiga kura kuendesha zoezi hilo kinyume na Utaratibu.
Amesema akiwa mwakilishi wa Vyama vya Siasa Tanzania, amezunguka kujionea hali ya Vituo vya Kupigia Kura jijini Dar es Salaam ikiwemo Wilaya ya Kinondoni, ambapo amejiridhisha kuwa madai yaliyotolewa kupitia Video hiyo na kubaini kuwa ni upotoshaji unaolenga kudhoofisha zoezi la Uchaguzi huu na nia njema ya kukuza Demokrasia ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Vyama vya Siasa nchini.
Nchi hii wahuni na majamabzi maharamia, yapo ndani ya chama.
Wanaoteka na kuua watu wapo huko. Mafisadi ya kutafuna mabilioni ya walipa kodi, yapo huko. Wanaoiba na kupora chaguzi, yapo huko. Hakika hiki ni Chama Cha Mashetani.
Hata alipopigwa risasi TAL swali hili liliulixwa
Mawazo alipokatwa mapanga swali hili liliulizwa.
Akwilin Akwilin, gwanda na sanane swali hili liliulizwa pia?
Unataka ushahidi toka kwangu wakati mm mwenyewe nimeyashudia ASUBUHI!
Nilishasimamia chaguzi najua
Niliona kura zikipigwa 2020 siku moja kabla ya uchaguzi pale ccm mkwajuni
TABIA HUJENGA MAZOEA
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Juma Khatibu amekanusha madai yanayochapishwa kupitia Video Clip inayosambaa Mitandao ya Kijamii kuhusu baadhi ya Vituo vya kupiga kura kuendesha zoezi hilo kinyume na Utaratibu.
Amesema akiwa mwakilishi wa Vyama vya Siasa Tanzania, amezunguka kujionea hali ya Vituo vya Kupigia Kura jijini Dar es Salaam ikiwemo Wilaya ya Kinondoni, ambapo amejiridhisha kuwa madai yaliyotolewa kupitia Video hiyo na kubaini kuwa ni upotoshaji unaolenga kudhoofisha zoezi la Uchaguzi huu na nia njema ya kukuza Demokrasia ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Vyama vya Siasa nchini.
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania, Juma Ally Khatibu, amekanusha madai yanayochapishwa kupitia video clip inayosambaa mitandaoni kuhusu baadhi ya vituo vya kupiga kura kuendesha zoezi hilo kinyume na utaratibu.
Amesema akiwa kama mwakilishi wa Vyama vya Siasa Tanzania, amezunguka kujionea hali ya vituo vya kupigia kura jijini Dar es Salaam ikiwemo Wilaya ya Kinondoni, ambapo amejiridhisha kuwa madai yaliyotolewa kupitia video hiyo hayana ukweli.
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Juma Khatibu amekanusha madai yanayochapishwa kupitia Video Clip inayosambaa Mitandao ya Kijamii kuhusu baadhi ya Vituo vya kupiga kura kuendesha zoezi hilo kinyume na Utaratibu.
Amesema akiwa mwakilishi wa Vyama vya Siasa Tanzania, amezunguka kujionea hali ya Vituo vya Kupigia Kura jijini Dar es Salaam ikiwemo Wilaya ya Kinondoni, ambapo amejiridhisha kuwa madai yaliyotolewa kupitia Video hiyo na kubaini kuwa ni upotoshaji unaolenga kudhoofisha zoezi la Uchaguzi huu na nia njema ya kukuza Demokrasia ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Vyama vya Siasa nchini.
"Shikamaneni na kusema kweli, kwa sababu ukweli huongoza kwenye wema, na wema huongoza Peponi. Na mtu ataendelea kusema kweli na kujitahidi kuwa mkweli mpaka ataandikwa mbele ya Mwenyezi Mungu kuwa ni mkweli. Na jihadharini na uongo, kwa sababu uongo hupelekea kwenye uovu, na uovu hupelekea Motoni. Na mtu ataendelea kusema uongo na kujitahidi kuwa muongo mpaka ataandikwa mbele ya Mwenyezi Mungu kuwa ni muongo."